Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Kwan uwanja was taifa upo Kwa wapi?Azam walitoa ufafanuzi kwamba hawawezi kutumia kamera ya juu sababu hapo karibu na uwanja wa Uhuru kuna kambi ya jeshi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan uwanja was taifa upo Kwa wapi?Azam walitoa ufafanuzi kwamba hawawezi kutumia kamera ya juu sababu hapo karibu na uwanja wa Uhuru kuna kambi ya jeshi.
wewe hata ukienda kunya mavi yasipotoka,utaleta malalamiko kuwa kuna njama imefanywa ili usinye vizuriNinaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu.
Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha mama ntilie. Camera hiyo moja inatembezwa Kila engo kama tiara.
Kiukweli haivutii kutazama.
Ni kama Azam hawamtaki au wametuzowea. Wanafanya wanavyo jisikia.
Tunaomba TFF na TCRA kuangalia namna ya kufanya evaluation juu na kazi za Azam.
Kwenu TFF tunaomba kuwe na ushindani na tenda ijayo ipewe makampuni mawili au zaidi ili kuleta ushindani. Azam tumewachoka.
Shida ni timu lao bovu, hata wangetumia kamera Milioni...kama Saidoo anaanguka anguka tu uwanjani .....magoli yao yatafungwa na Marefa tu.......wewe hata ukienda kunya mavi yasipotoka,utaleta malalamiko kuwa kuna njama imefanywa ili usinye vizuri
Ninaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu.
Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha mama ntilie. Camera hiyo moja inatembezwa Kila engo kama tiara.
Kiukweli haivutii kutazama.
Ni kama Azam hawamtaki au wametuzowea. Wanafanya wanavyo jisikia.
Tunaomba TFF na TCRA kuangalia namna ya kufanya evaluation juu na kazi za Azam.
Kwenu TFF tunaomba kuwe na ushindani na tenda ijayo ipewe makampuni mawili au zaidi ili kuleta ushindani. Azam tumewachoka.
[/QUOT
Fursa kuanzisha TV yako upige maokoto utawatoa azam kwenye business
Kwa maana hiyo haitatokea mechi yoyote ya kimataifa kuchezwa uhuru, na ikichezwa watarusha hivo hivo?Azam walitoa ufafanuzi kwamba hawawezi kutumia kamera ya juu sababu hapo karibu na uwanja wa Uhuru kuna kambi ya jeshi.
Uko hapo hapo lakini hiyo ndio excuse ya Azam, mengine sifahamu kwakweli.Kwan uwanja was taifa upo Kwa wapi?
Hahaha! Steve Nyerere na kizungu chakePuaaa kabisa
Mechi zote za Uhuru ndio zinarushwa hivo siku zote.Kwa maana hiyo haitatokea mechi yoyote ya kimataifa kuchezwa uhuru, na ikichezwa watarusha hivo hivo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwanja wa Uhuru ni sababu za kiusalama maana upo karibu kambi ya jeshi mkuu hawawezi kutumia camera ya juu
Wauni Azam wanazingua mbona tunaonaga mechi za kwa mkapa zile drones za juu kabisa zinashoot nje kabisa ya mazingira ya mbali kabisa ya Jiji na uwanja wa mkapa upo mkabala kabisa na uhuru wanashindwaje kuongeza kamera kwenye angle mbalimbali zitakazokava Hadi upande wa pili wa pichi la uwanja wa uhuru Kwa kisingizio Cha Kambi Hila waweze kuchukua picha za juu ya uwanja wa mkapa na mazingira ya Jiji linavyong'aa usiku kwenye uwanja wa mkapa ambao upo mkabala kabisa na uhuru huu si uhuni huuUko hapo hapo lakini hiyo ndio excuse ya Azam, mengine sifahamu kwakweli.
Ndo nami nimeuliza hii azam wahuni TUKuna zile camera vertical huwa zinapigwa kwenye game za CAF hasa halftime na fulltime vipi jeshi haliathiriki?
Hivi unaujua uwanja wa Uhuru kweli?Wauni Azam wanazingua mbona tunaonaga mechi za kwa mkapa zile drones za juu kabisa zinashoot nje kabisa ya mazingira ya mbali kabisa ya Jiji na uwanja wa mkapa upo mkabala kabisa na uhuru wanashindwaje kuongeza kamera kwenye angle mbalimbali zitakazokava Hadi upande wa pili wa pichi la uwanja wa uhuru Kwa kisingizio Cha Kambi Hila waweze kuchukua picha za juu ya uwanja wa mkapa na mazingira ya Jiji linavyong'aa usiku kwenye uwanja wa mkapa ambao upo mkabala kabisa na uhuru huu si uhuni huu
Ndio naujuaHivi unaujua uwanja wa Uhuru kweli?
Mechi ya kimataifa ichezwe uhuru? Never mzee,Kwa maana hiyo haitatokea mechi yoyote ya kimataifa kuchezwa uhuru, na ikichezwa watarusha hivo hivo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuto onekana vizuri ni advantage kwa timu pale refa anataka kuokoa timu flani ipate matokeoShida ni timu lao bovu, hata wangetumia kamera Milioni...kama Saidoo anaanguka anguka tu uwanjani .....magoli yao yatafungwa na Marefa tu.......
Mengine wajenge uwanja wao huko Boko sijui bunju wafunge kamera wazitakazo .....kama kamera zinacheza Mpira....
Cha msingi kwa kamera Chache za Azam ujinga wa Marefa umeonekana.....bebwabebwa Fc ikae hivyo.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Alafu waboreshe wapandishe na gharama iwe kama Dstv wabongo watakavyowaka 😂 wabongo aki sijapataga kuwasoma vizuriNamna ndo hy unavoona hapo kama ni hvy bc jeshi ndio waruhusu camera kuwekwa juu
Msimu ujao, AZam waondoshwe wapewe ITV hatuwezi kuburizwa namna hii, Azam wamefanya makhsudi kwakuwa Simba wamekataa kuchezea Chamazi.Ninaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu.