Azam na dharau kwa TFF na Watanzania. Haya ni matusi

Ninaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu.

Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha mama ntilie.
Camera hiyo moja inatbezewa Kila engo kama tiara.

Kiukweli haivutii kutazama.

Ni kama Azam hawamtaki au wametuzowea. Wanafanya wanavyo jisikia.

Tunaomba TFF na TCRA kuangalia namna ya kufanya evaluation juu na kazi za Azam.

Kwenu TFF tunaomba kuwe na ushindani na tenda ijayo ipewe makampuni mawili au zaidi ili kuleta ushindani.
Azam tumewachoka.
Tff washakunja mabilion hawawezi kutia neno!
 
Thubutu kwani hawataki maokoto.
 
sababu hapo karibu na uwanja wa Uhuru kuna kambi ya jeshi.
Jeshi gani linataka kambi yake isimulikwe? Hili hili lililokuwa linagombana na wananchi waliokuwa na mavazi yanayotaka kufanan na sare zake? Ndiyo limeanza kugombania anga tena??

Hili jeshi uchwara kweli kweli. Halijui kuwa huko angani kuna satellite za mzungu zinamulika kila kitu hapa ardhini??
 
Huwa nashangazwa sana na watu ambao mna muda wakuangalia mipira hii ya bongo.

Mna mioyo ya uvumilivu sana. Mimi nimejaribu nimeshindwa. Kuanzia warusha matangazo, wachambuzi, wachezaji na mashabiki wote ni hewa tu.

Siwezanagi na vitu substandard kabisa.
🚮
 
Jeshi gani linataka kambi yake isimulikwe? Hili hili lililokuwa linagombana na wananchi waliokuwa na mavazi yanayotaka kufanan na sare zake? Ndiyo limeanza kugombana anga tena??

Hili jeshi uchwara kweli kweli. Halijui kuwa huko angani kuna satellite za mzungu zinaona kila kitu??
Ndio tushangae kwa pamoja.
Jeshi hili linachekesha kweli 😂
 
A generation with high knowledge but lacks comprehension.
 
Jeshi gani linataka kambi yake isimulikwe? Hili hili lililokuwa linagombana na wananchi waliokuwa na mavazi yanayotaka kufanan na sare zake? Ndiyo limeanza kugombania anga tena??

Hili jeshi uchwara kweli kweli. Halijui kuwa huko angani kuna satellite za mzungu zinamulika kila kitu hapa ardhini??
Nakazia.

Halafu mwanzoni mwa mchezo kuna camera ilikuwa inachengachenga utadhani inavamiwa na nyuki. Sijui na yenyewe ni kwa sababu ya jeshi? Puaaa kabisa
 
Ninaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu.

Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha mama ntilie. Camera hiyo moja inatembezwa Kila engo kama tiara.

Kiukweli haivutii kutazama.

Ni kama Azam hawamtaki au wametuzowea. Wanafanya wanavyo jisikia.

Tunaomba TFF na TCRA kuangalia namna ya kufanya evaluation juu na kazi za Azam.

Kwenu TFF tunaomba kuwe na ushindani na tenda ijayo ipewe makampuni mawili au zaidi ili kuleta ushindani. Azam tumewachoka.
maagizo kutoka juu...ule uwanja kamwe hautakuja kuoneshwa kwa hizo kamera mnazo taka nyinyi
 
Ninaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu.

Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha mama ntilie. Camera hiyo moja inatembezwa Kila engo kama tiara.

Kiukweli haivutii kutazama.

Ni kama Azam hawamtaki au wametuzowea. Wanafanya wanavyo jisikia.

Tunaomba TFF na TCRA kuangalia namna ya kufanya evaluation juu na kazi za Azam.

Kwenu TFF tunaomba kuwe na ushindani na tenda ijayo ipewe makampuni mawili au zaidi ili kuleta ushindani. Azam tumewachoka.
Sasa kambi ya jeshi iliwekwa karibu na uwanja wa michezo ili iweje?
 
Back
Top Bottom