Azam na dharau kwa TFF na Watanzania. Haya ni matusi

Azam na dharau kwa TFF na Watanzania. Haya ni matusi

Uwanja wa Uhuru ni sababu za kiusalama maana upo karibu kambi ya jeshi mkuu hawawezi kutumia camera ya juu
Ni ujinga jeshi kuogopa kamera za Azam wakati kuna satellite ya mzungu huko angani inamulika mpk chumbani kwa mkuu wa majeshi.
 
Azam walitoa ufafanuzi kwamba hawawezi kutumia kamera ya juu sababu hapo karibu na uwanja wa Uhuru kuna kambi ya jeshi.
mbona kuna drone inachukua uwanja wa taifa mkubwa juu kabisa. hadi unaona viwanja vyote viwili. wamekosa sera wanatuona wametushika.
 
Azam walitoa ufafanuzi kwamba hawawezi kutumia kamera ya juu sababu hapo karibu na uwanja wa Uhuru kuna kambi ya jeshi.
Kambi ya jeshi imejengwa wakati wa mechi hii pekee?

Kwani kwenye Google Map hiyo kambi haionekani?

Wajitathmini waache uzwazwa
 
Wakati NK wamepeleka Satellite ya kuangalia hata sisimi wanaopita chini sisi tupo busy kukataza Camera zisiwekwe juu ya Uwanja wa mpira huku mkiwa mmedumaza vichwa hats kutaka kurusha Satellite yenu ya picha angani ham hamfikirii zaidi ya kuweka makatazo ya kiduanzi zama hizi eti Usipige picha hapa...
 
Msimu ujao, AZam waondoshwe wapewe ITV hatuwezi kuburizwa namna hii, Azam wamefanya makhsudi kwakuwa Simba wamekataa kuchezea Chamazi.

Haya ndio matatizo ya kampuni moja ku-monopolise sekta ya michezo.
ITV ya nchi gani?
Unachekesha kweli wewe jamaa🤣
 
Azam walitoa ufafanuzi kwamba hawawezi kutumia kamera ya juu sababu hapo karibu na uwanja wa Uhuru kuna kambi ya jeshi.
Kitu kifanyike, Serikalini iingilie Kati sababu uwanja wa uhuru umekuwepo miaka nenda rudi.
Mi nilishindwa kabisa kuangalia ile mechi, ilikuwa takataka hawawezi kuendelea kuonyesha vile
 
Wakati NK wamepeleka Satellite ya kuangalia hata sisimi wanaopita chini sisi tupo busy kukataza Camera zisiwekwe juu ya Uwanja wa mpira huku mkiwa mmedumaza vichwa hats kutaka kurusha Satellite yenu ya picha angani ham hamfikirii zaidi ya kuweka makatazo ya kiduanzi zama hizi eti Usipige picha hapa...
Na kuna nini cha ajabu humo? Mtu akitaka kupata taarifa zote anapata tu 100%.
 
Back
Top Bottom