Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
mbona mechi zote zingine wanaonesha vizuri tu?Ninaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu.
Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha mama ntilie.
Camera hiyo moja inatbezewa Kila engo kama tiara.
Kiukweli haivutii kutazama.
Ni kama Azam hawamtaki au wametuzowea. Wanafanya wanavyo jisikia.
Tunaomba TFF na TCRA kuangalia namna ya kufanya evaluation juu na kazi za Azam.
Kwenu TFF tunaomba kuwe na ushindani na tenda ijayo ipewe makampuni mawili au zaidi ili kuleta ushindani.
Azam tumewachoka.
Wabongo wanajua kulalamika tuu bila kufuatiliaSasa si Azam wameeleza sababu ya kwa nini mpira ulioneshwa hivyo?
Ina maana uwanja uliokaribu na jeshi ni Uhuru tu? Vipi kuhusu Mkapa?Sasa si Azam wameeleza sababu ya kwa nini mpira ulioneshwa hivyo?
huna akili wewe.Ninaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu.
Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha mama ntilie.
Camera hiyo moja inatbezewa Kila engo kama tiara.
Kiukweli haivutii kutazama.
Ni kama Azam hawamtaki au wametuzowea. Wanafanya wanavyo jisikia.
Tunaomba TFF na TCRA kuangalia namna ya kufanya evaluation juu na kazi za Azam.
Kwenu TFF tunaomba kuwe na ushindani na tenda ijayo ipewe makampuni mawili au zaidi ili kuleta ushindani.
Azam tumewachoka.
Havina maana kwa wewe, heshimu umaana wa wengineHV Hilo tu ndio umeliona hv mbn unalalamika vitu visivyo vya maana vya masna unaviacha
Kaz IPO
Ishu ni main camera na sio camera zote, uwanja wa uhuru ukitumia main camera unaona hadi nje ya uwanja ambapo ndio kuna kambi ya jeshi lakini pale kwa mkapa main camera haionyeshi kambi ya jeshi kutokana na location na miundombinu ya uwanja wa mkapa.Ina maana uwanja uliokaribu na jeshi ni Uhuru tu? Vipi kuhusu Mkapa?
Ndio watafute namna sio kuonesha vichekesho kama hivi..! Sisi tunahitaji kitu bora regardless na ugumu wa upatikanaji.Ishu ni main camera na sio camera zote, uwanja wa uhuru ukitumia main camera unaona hadi nje ya uwanja ambapo ndio kuna kambi ya jeshi lakini pale kwa mkapa main camera haionyeshi kambi ya jeshi kutokana na location na miundombinu ya uwanja wa mkapa.
Namna ndo hy unavoona hapo kama ni hvy bc jeshi ndio waruhusu camera kuwekwa juuNdio watafute namna sio kuonesha vichekesho kama hivi..! Sisi tunahitaji kitu bora regardless na ugumu wa upatikanaji.
Sio yeye tu, hata mimi nimezima tv picha ilikuwa mbovu sana, mtu akiwa na mpira unamuona pekeakeHV Hilo tu ndio umeliona hv mbn unalalamika vitu visivyo vya maana vya masna unaviacha
Kaz IPO