kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Tff washakunja mabilion hawawezi kutia neno!Ninaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu.
Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha mama ntilie.
Camera hiyo moja inatbezewa Kila engo kama tiara.
Kiukweli haivutii kutazama.
Ni kama Azam hawamtaki au wametuzowea. Wanafanya wanavyo jisikia.
Tunaomba TFF na TCRA kuangalia namna ya kufanya evaluation juu na kazi za Azam.
Kwenu TFF tunaomba kuwe na ushindani na tenda ijayo ipewe makampuni mawili au zaidi ili kuleta ushindani.
Azam tumewachoka.
Sasa kambi ya jeshi na kamera vinahusianaje?.Azam walitoa ufafanuzi kwamba hawawezi kutumia kamera ya juu sababu hapo karibu na uwanja wa Uhuru kuna kambi ya jeshi.
Ninaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu.
Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha mama ntilie.
Camera hiyo moja inatbezewa Kila engo kama tiara.
Kiukweli haivutii kutazama.
Ni kama Azam hawamtaki au wametuzowea. Wanafanya wanavyo jisikia.
Tunaomba TFF na TCRA kuangalia namna ya kufanya evaluation juu na kazi za Azam.
Kwenu TFF tunaomba kuwe na ushindani na tenda ijayo ipewe makampuni mawili au zaidi ili kuleta ushindani.
Azam tumewachoka.
Thubutu kwani hawataki maokoto.Ninaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu.
Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha mama ntilie.
Camera hiyo moja inatbezewa Kila engo kama tiara.
Kiukweli haivutii kutazama.
Ni kama Azam hawamtaki au wametuzowea. Wanafanya wanavyo jisikia.
Tunaomba TFF na TCRA kuangalia namna ya kufanya evaluation juu na kazi za Azam.
Kwenu TFF tunaomba kuwe na ushindani na tenda ijayo ipewe makampuni mawili au zaidi ili kuleta ushindani.
Azam tumewachoka.
TATUUUNgapi ngapi?
Jeshi gani linataka kambi yake isimulikwe? Hili hili lililokuwa linagombana na wananchi waliokuwa na mavazi yanayotaka kufanan na sare zake? Ndiyo limeanza kugombania anga tena??sababu hapo karibu na uwanja wa Uhuru kuna kambi ya jeshi.
🚮Huwa nashangazwa sana na watu ambao mna muda wakuangalia mipira hii ya bongo.
Mna mioyo ya uvumilivu sana. Mimi nimejaribu nimeshindwa. Kuanzia warusha matangazo, wachambuzi, wachezaji na mashabiki wote ni hewa tu.
Siwezanagi na vitu substandard kabisa.
Sasa Kwan Kambi ya jeshi si jeshi letu watanzania ,si mambo ya kifamilia kabisa hayo waweke tu tunaangalia vitu vyetu wenyewe hakuna shida [emoji442][emoji442]Azam walitoa ufafanuzi kwamba hawawezi kutumia kamera ya juu sababu hapo karibu na uwanja wa Uhuru kuna kambi ya jeshi.
Ndio tushangae kwa pamoja.Jeshi gani linataka kambi yake isimulikwe? Hili hili lililokuwa linagombana na wananchi waliokuwa na mavazi yanayotaka kufanan na sare zake? Ndiyo limeanza kugombana anga tena??
Hili jeshi uchwara kweli kweli. Halijui kuwa huko angani kuna satellite za mzungu zinaona kila kitu??
Wazee wa kuvunja tofali hawatak wanasema hatari kwa usalama wa taifa 🤣🤣🤣Sasa kambi ya jeshi na kamera vinahusianaje?.
Sababu za kiusalama.Sasa kambi ya jeshi na kamera vinahusianaje?.
😂😂Mnataka kuwamulika wazee wa mabaka mabaka.Wazee wa kuvunja tofali hawatak wanasema hatari kwa usalama wa taifa 🤣🤣🤣
hilo swali waulizwe jwtz maana wao ndio waliotoa marufuku kwa azamtv kuweka camera zao juu ya uwanja wa uhuru.Sasa kambi ya jeshi na kamera vinahusianaje?.
Nakazia.Jeshi gani linataka kambi yake isimulikwe? Hili hili lililokuwa linagombana na wananchi waliokuwa na mavazi yanayotaka kufanan na sare zake? Ndiyo limeanza kugombania anga tena??
Hili jeshi uchwara kweli kweli. Halijui kuwa huko angani kuna satellite za mzungu zinamulika kila kitu hapa ardhini??
maagizo kutoka juu...ule uwanja kamwe hautakuja kuoneshwa kwa hizo kamera mnazo taka nyinyiNinaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu.
Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha mama ntilie. Camera hiyo moja inatembezwa Kila engo kama tiara.
Kiukweli haivutii kutazama.
Ni kama Azam hawamtaki au wametuzowea. Wanafanya wanavyo jisikia.
Tunaomba TFF na TCRA kuangalia namna ya kufanya evaluation juu na kazi za Azam.
Kwenu TFF tunaomba kuwe na ushindani na tenda ijayo ipewe makampuni mawili au zaidi ili kuleta ushindani. Azam tumewachoka.
Sasa kambi ya jeshi iliwekwa karibu na uwanja wa michezo ili iweje?Ninaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu.
Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha mama ntilie. Camera hiyo moja inatembezwa Kila engo kama tiara.
Kiukweli haivutii kutazama.
Ni kama Azam hawamtaki au wametuzowea. Wanafanya wanavyo jisikia.
Tunaomba TFF na TCRA kuangalia namna ya kufanya evaluation juu na kazi za Azam.
Kwenu TFF tunaomba kuwe na ushindani na tenda ijayo ipewe makampuni mawili au zaidi ili kuleta ushindani. Azam tumewachoka.
Kama ndo hivyo basi huo uwanja haufai kutumika.maagizo kutoka juu...ule uwanja kamwe hautakuja kuoneshwa kwa hizo kamera mnazo taka nyinyi