Azam na dharau kwa TFF na Watanzania. Haya ni matusi

wewe hata ukienda kunya mavi yasipotoka,utaleta malalamiko kuwa kuna njama imefanywa ili usinye vizuri
 
wewe hata ukienda kunya mavi yasipotoka,utaleta malalamiko kuwa kuna njama imefanywa ili usinye vizuri
Shida ni timu lao bovu, hata wangetumia kamera Milioni...kama Saidoo anaanguka anguka tu uwanjani .....magoli yao yatafungwa na Marefa tu.......

Mengine wajenge uwanja wao huko Boko sijui bunju wafunge kamera wazitakazo .....kama kamera zinacheza Mpira....


Cha msingi kwa kamera Chache za Azam ujinga wa Marefa umeonekana.....bebwabebwa Fc ikae hivyo.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Azam walilitolea ufafanuzi mechi ikichezwa uwanja wa uhuru
 
Walitoa sababu ...fuatiliaa....kama v
 
Uwanja wa Uhuru ni sababu za kiusalama maana upo karibu kambi ya jeshi mkuu hawawezi kutumia camera ya juu

Uko hapo hapo lakini hiyo ndio excuse ya Azam, mengine sifahamu kwakweli.
Wauni Azam wanazingua mbona tunaonaga mechi za kwa mkapa zile drones za juu kabisa zinashoot nje kabisa ya mazingira ya mbali kabisa ya Jiji na uwanja wa mkapa upo mkabala kabisa na uhuru wanashindwaje kuongeza kamera kwenye angle mbalimbali zitakazokava Hadi upande wa pili wa pichi la uwanja wa uhuru Kwa kisingizio Cha Kambi Hila waweze kuchukua picha za juu ya uwanja wa mkapa na mazingira ya Jiji linavyong'aa usiku kwenye uwanja wa mkapa ambao upo mkabala kabisa na uhuru huu si uhuni huu
 
Hivi unaujua uwanja wa Uhuru kweli?
 
Kuto onekana vizuri ni advantage kwa timu pale refa anataka kuokoa timu flani ipate matokeo
 
Namna ndo hy unavoona hapo kama ni hvy bc jeshi ndio waruhusu camera kuwekwa juu
Alafu waboreshe wapandishe na gharama iwe kama Dstv wabongo watakavyowaka 😂 wabongo aki sijapataga kuwasoma vizuri
 
Msimu ujao, AZam waondoshwe wapewe ITV hatuwezi kuburizwa namna hii, Azam wamefanya makhsudi kwakuwa Simba wamekataa kuchezea Chamazi.

Haya ndio matatizo ya kampuni moja ku-monopolise sekta ya michezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…