Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Kwa jina la Muumba na kwa upendo JMTanzania.
Mwarabu huyu ametuonesha uzalendo na upendo wa dhati kwa Taifa letu adhimu.
WanaMichezo na wanaHabari na wadau wengi watafaidika kwa njia mbalimbali ktk MKATABA na TFF ULIYO WA KIPEKEE hapa Barani Afrika.
Waswahili husema mcheza kwao hutunzwa
Huu ni mfano dhahiri na mwendelezo na wengine waje kuunganisha... Tanzania kwanza taifa letu juu.
Uzi nimewasilisha.