Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
- Thread starter
- #41
Pole na Salamat yake :-Hongera kwake ingawa kwa sasa anaumwa sukari inamsumbua......
maadiko... tafakari
1. Hakuna aibu ktk magonjwa
2. Hakuna aibu ktk ulemavu, nk nk
3. Hakuna aibu ktk Umasikini
BTW, sisi sote ni maiti watarajiwa au kwa lugha tukufu "wafu tunaotembea" leo tupo kesho hatupo !!!
(( FYI, ugonjwa wa kiSukari upo ktk kila rika na kila nyumba ))