Azam (SS Bakhresa) Mwenyezi Mungu akupe nini zaidi..!!

Azam (SS Bakhresa) Mwenyezi Mungu akupe nini zaidi..!!

Leo kaongezwa Mkataba mpk 2024.
PRINCE%20DUBE%20is%20BLUE%20_large_blue_circle_%20Mpaka%202024.%20%20%20Well%20done%20CEO%20wa...jpg


Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kiasi siwezi kusema bila upembuzi yakinifu na wa kutosha suala langu lipo kwenye mkataba. Jaribu kutazama ndani ya miaka kumi ijayo ligi itakuwa na thamani ya hilo gawio wanalopewa kwa msimu au hiyo pesa itakuwa na thamani zaidi kuliko ligi yetu?

Je hiyo pesa itakuwa na thamani kama ilivyokuwa nayo sasa ?au itakuwa na Msaada mchache kuliko kwa wakati huu bila shaka majibu yako wazi.kumuuzia mwekezaji haki zako zote za matangazo kwa mkataba mrefu kama huo ni kupigwa za uso bila kujua

Afadhali wangempa miaka mitano au wangeruhusu labda top four kama sio top six za msimu uliopita kuwa na haki ya kuwauzia wengine.mambo mengine ni kuangalia wenzetu wanafanyaje ila ndio mara nyingi tunaendeshwa na akili za tumbo kuliko akili za kichwani

Ni mtazamo tu
Kweli ni mtazamo, tena mtazamo wa mwenye njaa
 
Back
Top Bottom