Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Mungu amzidishie tu
Azma wapunguze bei za vifurushi, 20k ni pesa ndefu kwa sisi walala hoi
Maneno mazuri ila nadhani ungemwita tu Mtanzania mwenzetu au Salem Bakheresa kama kina Mo Dewji hatumwiti huyu muhindi katusaidia tunamwita Mo.Kwa jina la Muumba na kwa upendo JMTanzania
Mwarabu huyu ametuonesha uzalendo na upendo wa dhati kwa Taifa letu adhimu...
WanaMichezo na wanaHabari na wadau wengi watafaidika kwa njia mbalimbali ktk MKATABA na TFF ULIYO WA KIPEKEE hapa Barani Afrika.
Waswahili husema mcheza kwao hutunzwa!!
Huu ni mfano dhahiri na mwendelezo na wengine wake kuunganisha... Tanzania kwanza taifa letu juu !!
Uzi nimewasilisha....
Mungu amwongezee anaotoa,more Life to you bahkresa 🙏Ndio mfanyabiashara ambae bidhaa zake nyingi husaidia kutoa ajira kwa wengine
Alianza na maji uhai vijana wakawa wansuza mabarabarani
Azam TV mabanda ya kuonyesha mpira yamezagaa
Asikilimu maderi kila kona
Hahaha.... Haha sasa tumekuwa wapolee tumepowa!! Kweli ndg. Ila humu JF nz mtandaoni tukihesabu nyuzi zinao wananga Waarabu !!! Utashangaa!!Maneno mazuri ila nadhani ungemwita tu Mtanzania mwenzetu au Salem Bakheresa kama kina Mo Dewji hatumwiti huyu muhindi katusaidia tunamwita Mo.
Arab MTz.... mzalendo mataifa mkarimu..mwokozi..mtetezi aliyeShiba hana njaa wala ubaya wala husda...mchangia ajira...Kumbe ni mwarabu nilijua muhindi
Usipotazama kwa karibu utaona sekta ya michezo itanufaika sana na huo mkataba. Ila kiukweli kumuuzia hati ya matangazo ya VPL kwa miaka kumi na pesa aliyotoa ni tofauti kabisa
Binafsi hapo mnufaika zaidi ni yeye TFF wamepigwa changa la macho
Unahisi alipaswa kutoa kiasi gani mkuu?Usipotazama kwa karibu utaona sekta ya michezo itanufaika sana na huo mkataba. Ila kiukweli kumuuzia hati ya matangazo ya VPL kwa miaka kumi na pesa aliyotoa ni tofauti kabisa
Binafsi hapo mnufaika zaidi ni yeye TFF wamepigwa changa la macho
Ngoja waje wakutukane! Yaani unapata kabisa ujasiri wa kumsimanga kipenzi chao!! 🏃🏃Hivi Mo Dewji zile 20 Bilioni zake alowekeza Simba ndio awe tajiri Afrika Mashariki? Matajiri hawajisemi, mzee Bakhressa kawekeza zaidi ya b 225....na upuuzi lakini hata tweet yake haionekni sehemu.
Acheni kumlinganisha Mudi Biriani na mzee Bakhresa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]