Azam (SS Bakhresa) Mwenyezi Mungu akupe nini zaidi..!!

Ngoja waje wakutukane! Yaani unapata kabisa ujasiri wa kumsimanga kipenzi chao!! [emoji125][emoji125]
Wenye hela hawajionyeshi, forbes kweli ni waongo tu, wapi umewahi kuona tweet ya mzee Bakhressa?! Achana na Mudi biriani kila siku tweet[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Usipotazama kwa karibu utaona sekta ya michezo itanufaika sana na huo mkataba. Ila kiukweli kumuuzia hati ya matangazo ya VPL kwa miaka kumi na pesa aliyotoa ni tofauti kabisa

Binafsi hapo mnufaika zaidi ni yeye TFF wamepigwa changa la macho
Kwahiyo ulitaka atoe halafu apate hasara. Hiyo ndio business. Akinufaika zaidi maana yake ni kuwa next contract ataongeza mzigo zaidi kama yeye atashinda tena Zabuni
 
Azma wapunguze bei za vifurushi, 20k ni pesa ndefu kwa sisi walala hoi
waswahili hamjawahi kutosheka.

azam media wamewawekea mpaka kifurushi cha shilingi mia tano, bado mnalalamika.

siku mtu kama huyu akitangaza kufunga biashara kwa kupata hasara, watu kama nyinyi mtakuwa wa kwanza kuanzisha nyuzi za kumsimanga.
 
Hongera kwake ingawa kwa sasa anaumwa sukari inamsumbua......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…