Azam (SS Bakhresa) Mwenyezi Mungu akupe nini zaidi..!!

Hongera kwake ingawa kwa sasa anaumwa sukari inamsumbua......
Pole na Salamat yake :-
maadiko... tafakari
1. Hakuna aibu ktk magonjwa
2. Hakuna aibu ktk ulemavu, nk nk
3. Hakuna aibu ktk Umasikini
BTW, sisi sote ni maiti watarajiwa au kwa lugha tukufu "wafu tunaotembea" leo tupo kesho hatupo !!!
(( FYI, ugonjwa wa kiSukari upo ktk kila rika na kila nyumba ))
 
Huyo wakutoa hela kama hiyo kwa miaka minne yupo?
huu mkataba unapaswa kuchunguzwa, hata kama hayupo lakini tff wamekubali kukabwa kiasi hiko?? hata kama wangepunguza pesa kwa miaka mitano sawa lakini miaka 10 ni mingi sana
 
Unahisi alipaswa kutoa kiasi gani mkuu?
Kiasi siwezi kusema bila upembuzi yakinifu na wa kutosha suala langu lipo kwenye mkataba. Jaribu kutazama ndani ya miaka kumi ijayo ligi itakuwa na thamani ya hilo gawio wanalopewa kwa msimu au hiyo pesa itakuwa na thamani zaidi kuliko ligi yetu?

Je hiyo pesa itakuwa na thamani kama ilivyokuwa nayo sasa ?au itakuwa na Msaada mchache kuliko kwa wakati huu bila shaka majibu yako wazi.kumuuzia mwekezaji haki zako zote za matangazo kwa mkataba mrefu kama huo ni kupigwa za uso bila kujua

Afadhali wangempa miaka mitano au wangeruhusu labda top four kama sio top six za msimu uliopita kuwa na haki ya kuwauzia wengine.mambo mengine ni kuangalia wenzetu wanafanyaje ila ndio mara nyingi tunaendeshwa na akili za tumbo kuliko akili za kichwani

Ni mtazamo tu
 
Kwahiyo ulitaka atoe halafu apate hasara. Hiyo ndio business. Akinufaika zaidi maana yake ni kuwa next contract ataongeza mzigo zaidi kama yeye atashinda tena Zabuni
Suala sio biashara mzee ishu ni wote mpate katika mkataba kulingana na faida ya uuwekezaji.Haiwezekani upewe pipi mwenzako ale mkate alafu wewe utulie kwa sababu ya uwekezaji wake labda kama njaa imehamia tumboni

Unakumbuka Mo alipotaka kuinunua simba kwa bilion 20 watu walivyocharuka naye akaufyata pesa aliyotaka kuinunua klabu kwa sasa imemfanya kuwa mwekezaji mwenye asilimia kubwa za hisa .vipi kama simba wangesema ni biashara acha tuuze klabu mwekezaji apate faida.Kwenye faida lazima kuwe na maslahi pande zote mbili
 
Kuna Mkate ametengeneza anauuza mia5 na tayari vijana wanautembeza kwenye vile vibaiskeli vyake... BOLILO BREAD
Ndio mfanyabiashara ambae bidhaa zake nyingi husaidia kutoa ajira kwa wengine
Alianza na maji uhai vijana wakawa wansuza mabarabarani
Azam TV mabanda ya kuonyesha mpira yamezagaa
Asikilimu maderi kila kona

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Muddy ni mpigaji tu
 
Aamyn aamyn
 
Sasa kwenye mambo ya SIMBA unayaletaje hapa??,Si tumekubaliana kuwa SIMBA ndo Baba lao na asitokee wakumsemasema au???[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…