Yaani Azam tv hawajitambui kabisa hawajui kuchuja maudhui katika jamii yenye muingiliano mkubwa wa watu wao wanachojua ni Kum please alaa tuNina mwaka wa 5 nshakitupa hiki kijamaa sababu ya hizo tamthilia zao, nliona watoto wanachokijenga kichwan mwao sitoweza kuki control vichwani mwao siku za usoni
Fanya tafiti kidogo ufahamu hizo tamthilia za Kituruki zinapendwa kiasi gani na kwa nini zinangaliwa na kufuatiliwa kuliko nyingine, halafu uje na mawazo yako ya kijima juu ya biashara.Una fikra zenye mipaka sana, wafanyabiashara wangekuwa na mawazo kama yako hakuna kitu wangefanya
Punguza mapovu nunua DSTV , siku mbili unakesha hapa kuwafundisha biashara watu walio kuzidi kwa Kila kitu.Yaani Azam tv hawajitambui kabisa hawajui kuchuja maudhui katika jamii yenye muingiliano mkubwa wa watu wao wanachojua ni Kum please alaa tu
Sasa ulitegemea waislamu wenzenu wazichukie?Fanya tafiti kidogo ufahamu hizo tamthilia za Kituruki zinapendwa kiasi gani na kwa nini zinangaliwa na kufuatiliwa kuliko nyingine, halafu uje na mawazo yako ya kijima juu ya biashara.
Unajua kwanini hao walionizidi kila kitu wanatangaza kila siku tununue vifurushi vya visimbuzi vyao kwa 28000 ilhali wao Wana mabilioni?Punguza mapovu nunua DSTV , siku mbili unakesha hapa kuwafundisha biashara watu walio kuzidi kwa Kila kitu.
Wewe ndo ubadilishe channel au kingamuzi ACha kupangia Biashara za watuJana nimerudi nimechoka nikafikia kujitupa tu kwenye kiti hakukuwa na mtu sebuleni ila TV ilikuwa inaonesha chaneli ya Azam 2
Macho yangu yakaona kipande kimoja kwenye tamthilia ya kituruki bila shaka inaitwa Alpasalani nadhani, Sasa Kuna Binti alikuwa Yuko kwenye mtego na viongozi wa utawala mwingine inaonesha huo utawala una Ukristu maana askari wake wana misalaba kwenye mavazi yao.
Sasa hawa askari aisee ni midebwedo vibaya mno yaani mwanamke moja anaua infidels (humo wanaita wadhalimu) zaidi ya 20 mbele ya kiongozi wao halafu Yuko pekeake na bado anaendelea kusurvive!? Duuuh ina maana hao ni wanyonge kiasi hiko? Halafu mule inaonesha waislamu ni watu wema sana na wakristu ni watu wenye Roho mbaya mno na hii chanel secular ila inabagua Imani moja na kuipendelea ingine.
Ututuki ni nchi ambayo raia wake wengi ni waislamu hivyo ni sawa kuwa na maudhui kama Yale, Sasa Tanzania hii ni multi religion county huwezi kuwa na maudhui hayo hayo tu kila siku ya kukandamiza Imani moja na kuipendelea ingine kulikuwa na;
Zote hizi maudhui ni yaleyale.
- Ertugrul
- Ottoman
- Barbarossa na Sasa ni hii
- Alpasalani
Azam tv badilikeni, hela tunalipa sisi lakini mnatutibua nyingi makusudi kabisa.
Na huu mwezi nitaacha kulipia hiki kisimbuzi kama ni ligi kuu nitaangalia bandani na kisimbuzi nitanunua cha startimes.
Azam tv mjifunze kwa wenzenu, mbona wao wanajua mipaka yao.
Mnakera bwana aah!
Swali, hizo tamthilia ni za kubuni tu au based in true story?Sijawahi kuziona hizo tamthilia unazozisemea Mimi naongelea nilichokiona
Wenulyewe saivi wanakwambia ni zamu Yao, Zanzibar , bara , wao ndio wao, utawaambia nini yani.Jana nimerudi nimechoka nikafikia kujitupa tu kwenye kiti hakukuwa na mtu sebuleni ila TV ilikuwa inaonesha chaneli ya Azam 2
Macho yangu yakaona kipande kimoja kwenye tamthilia ya kituruki bila shaka inaitwa Alpasalani nadhani, Sasa Kuna Binti alikuwa Yuko kwenye mtego na viongozi wa utawala mwingine inaonesha huo utawala una Ukristu maana askari wake wana misalaba kwenye mavazi yao.
Sasa hawa askari aisee ni midebwedo vibaya mno yaani mwanamke moja anaua infidels (humo wanaita wadhalimu) zaidi ya 20 mbele ya kiongozi wao halafu Yuko pekeake na bado anaendelea kusurvive!? Duuuh ina maana hao ni wanyonge kiasi hiko? Halafu mule inaonesha waislamu ni watu wema sana na wakristu ni watu wenye Roho mbaya mno na hii chanel secular ila inabagua Imani moja na kuipendelea ingine.
Ututuki ni nchi ambayo raia wake wengi ni waislamu hivyo ni sawa kuwa na maudhui kama Yale, Sasa Tanzania hii ni multi religion county huwezi kuwa na maudhui hayo hayo tu kila siku ya kukandamiza Imani moja na kuipendelea ingine kulikuwa na;
Zote hizi maudhui ni yaleyale.
- Ertugrul
- Ottoman
- Barbarossa na Sasa ni hii
- Alpasalani
Azam tv badilikeni, hela tunalipa sisi lakini mnatutibua nyingi makusudi kabisa.
Na huu mwezi nitaacha kulipia hiki kisimbuzi kama ni ligi kuu nitaangalia bandani na kisimbuzi nitanunua cha startimes.
Azam tv mjifunze kwa wenzenu, mbona wao wanajua mipaka yao.
Mnakera bwana aah!
Nyie ndo mnachukukua udini na uwezo wenu wa kufikiria umeishia hapo Yale ni maigizo ya historia ya uturuki huwezi ukapindisha historia kwa kukufurahisha wewe mkuuAzam wanapenda udini sana
Mnachanganya kati ya Historical Drama na Religious Drama! Kwa mfano, wakati Mkwawe anadai tamthilia kama Ertugrul ina udini, tamthilia hiyo hiyo imepigwa ban kwenye nchi kadhaa za Kiarabu kama vile Saudi Arabia na hata UAE! Sasa kwanini Nchi za Kiislamu zipige ban tamthilia yenye Uislamu mwingi?! Sababu ni kwamba tamthilia sio ya kidini but more historical na nchi za Kiarabu ambazo ni Muslim Majority wanafahamu what it means when it comes historical background kati ya hizo nchi na Ottoman Empire! Na ukiziangalia kwa makini utagundua moja kwa moja wanachofanya Uturuki ni kuonesha their past superiority kiutawala na sio kidini!kwa kweli sijui ni kwanini wanapenda sana maudhui ya udini, ila hilo swala wanatakiwa walifanyie kazi.. with time haya mambo yanachosha aisee