Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyu jamaa analock mind set sana. sasa iyo ni tamthilia,We kama unaona AZAM TV inakukwaza achana nayo kaangalie ITV huko kila Jumapili mambo ya kanisani lakini Ijumaa hakuna mambo ya msikitini.Pia kaa angalie channel 10 yuko BULLDOZER Mwammposa ! Shida yako nini ??? Achana na AZAM shenz taip !
Acha Uzwazwa mkuuu,Sawa bao la shoga
Unacho lalamika hapa hakina mantiki, kwenye Azam TV kuna Tumaini TV ya kikristo na kuna Arise and shine ya kikristo, kama hizi tamthilia zina uislamu weka hizo za kikristo ule injili, hakuna anaeweza kumfurahisha kila mtu , isipokuwa unafanya vitu sahihi tuMara mwisho nilikulalamikia nini ndugu yangu
Watanzania wengi huwa tunalalamikia udini lakini sisi ndo wadini wa kwanza.Jana nimerudi nimechoka nikafikia kujitupa tu kwenye kiti hakukuwa na mtu sebuleni ila TV ilikuwa inaonesha chaneli ya Azam 2
Macho yangu yakaona kipande kimoja kwenye tamthilia ya kituruki bila shaka inaitwa Alpasalani nadhani, Sasa Kuna Binti alikuwa Yuko kwenye mtego na viongozi wa utawala mwingine inaonesha huo utawala una Ukristu maana askari wake wana misalaba kwenye mavazi yao.
Sasa hawa askari aisee ni midebwedo vibaya mno yaani mwanamke moja anaua infidels (humo wanaita wadhalimu) zaidi ya 20 mbele ya kiongozi wao halafu Yuko pekeake na bado anaendelea kusurvive!? Duuuh ina maana hao ni wanyonge kiasi hiko? Halafu mule inaonesha waislamu ni watu wema sana na wakristu ni watu wenye Roho mbaya mno na hii chanel secular ila inabagua Imani moja na kuipendelea ingine.
Ututuki ni nchi ambayo raia wake wengi ni waislamu hivyo ni sawa kuwa na maudhui kama Yale, Sasa Tanzania hii ni multi religion county huwezi kuwa na maudhui hayo hayo tu kila siku ya kukandamiza Imani moja na kuipendelea ingine kulikuwa na;
Zote hizi maudhui ni yaleyale.
- Ertugrul
- Ottoman
- Barbarossa na Sasa ni hii
- Alpasalani
Azam tv badilikeni acheni upumbavu wenu hela tunalipa sisi lakini mnatutibua nyingi makusudi kabisa. Na huu mwezi nitaacha kulipia hiki kisimbuzi kama ni ligi kuu nitaangalia bandani na kisimbuzi nitanunua cha startimes.
Azam tv mna mazoea sana aisée na kazi zenu, Imani hazilazimishwi kihivyo, mjifunze kwa wenzenu mbona wao wanajua mipaka yao.
Mnakera bwana aah!
Kwa mwamposa ile ni non secular Azam tv ni secularWe kama unaona AZAM TV inakukwaza achana nayo kaangalie ITV huko kila Jumapili mambo ya kanisani lakini Ijumaa hakuna mambo ya msikitini.Pia kaa angalie channel 10 yuko BULLDOZER Mwammposa ! Shida yako nini ??? Achana na AZAM shenz taip !
Basi usilalamikeHalima shebuge dada angu tusipoangalia wewe utapata wapi kula!?
Kila jambo analitafsiri kidini, imekuwa kama Simba na Yanga sasaWatanzania wengi huwa tunalalamikia udini lakini sisi ndo wadini wa kwanza.
Kuna kipindi nchi kwetu kwenye tv tamthilia nyingi ni za kifilipino na spanish/mexico hakukua na kelele, lakini sasahivi tamthilia nyingi ni kihindi na kituruki. Sasa hapa ndo kwenye shida mbona kelele za uhindu hakuna? Zipo kwenye hizi za kituruki🤣? Tolerance wakuu
Hapa sijaweka kabisa bongo movie mambo ya kina mtitu g game. "In God We Trust"
Ni sawa na ucheki historical korean series na ulalamike budhisim au confucianism
UVumilivu muhimu wakuu
Mbona hata za kiislamu zipo ila hatuziongelei?Ila wangalatia mna nonngwa sana ktk kingamuzi cha Azam kuna channel za ungalaitiani nyingi sana kwa nin usifungue izo channel ukaskiliz mahubir ya kwenu ?
Kwa sababu ni secular ndio maana ina Tumaini TV, Arise and shine zote hizi za kikristo na kuna Islam TV hii ya kiislamu, kwahiyo ni juu ya mtazamaji kuchagua anacho penda, remote unayo kazi kwakoKwa mwamposa ile ni non secular Azam tv ni secular
Kitu sahihi ni nini?Unacho lalamika hapa hakina mantiki, kwenye Azam TV kuna Tumaini TV ya kikristo na kuna Arise and shine ya kikristo, kama hizi tamthilia zina uislamu weka hizo za kikristo ule injili, hakuna anaeweza kumfurahisha kila mtu , isipokuwa unafanya vitu sahihi tu