Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BabaakoNi nani huyo uliyemtaja
Anakwambia kabisa demu mmoja anawaua wakristo kama 20. Huyu movie za kimarekani za middle east ataweza angalia kweli🤣?Kila jambo analitafsiri kidini, imekuwa kama Simba na Yanga sasa
Hakuna shida.Sasa Kuna shida gani baba yangu kuja kututembelea familia yake
Shida sio kuwa na maudhui ya kidini naomba unielewe ndugu yangu katika ImaniWatanzania wengi huwa tunalalamikia udini lakini sisi ndo wadini wa kwanza.
Kuna kipindi nchi kwetu kwenye tv tamthilia nyingi ni za kifilipino na spanish/mexico hakukua na kelele, lakini sasahivi tamthilia nyingi ni kihindi na kituruki. Sasa hapa ndo kwenye shida mbona kelele za uhindu hakuna? Zipo kwenye hizi za kituruki🤣? Tolerance wakuu
Hapa sijaweka kabisa bongo movie mambo ya kina mtitu g game. "In God We Trust"
Ni sawa na ucheki historical korean series na ulalamike budhisim au confucianism
UVumilivu muhimu wakuu
Movie za Kimarekani kila siku magaidi wana onekana wanasoma Quran 😂😂😂😂, watu wanaangalia maisha yanakwendaAnakwambia kabisa demu mmoja anawaua wakristo kama 20. Huyu movie za kimarekani za middle east ataweza angalia kweli🤣?
Acheni kupangia watu vyakufanya wakat hamkuchnagia ata 100 kwenye kuanzisha iyo iyo biasharaMbona hata za kiislamu zipo ila hatuziongelei?
Si ipo iman tv, pia mahseen TV mbona hizo hatuzisemi?
Ni kweli alafu kwenye Azam Tv kuna channel nyingi za kikristo kuliko waislamUnacho lalamika hapa hakina mantiki, kwenye Azam TV kuna Tumaini TV ya kikristo na kuna Arise and shine ya kikristo, kama hizi tamthilia zina uislamu weka hizo za kikristo ule injili, hakuna anaeweza kumfurahisha kila mtu , isipokuwa unafanya vitu sahihi tu
Mbona movie kibao za Kimarekani zinaonyesha kuwa magaidi ni waislamu tena wakati mwengine wakiwa wanasoma Qurani kabisaaaa wakiwa na sifa mbaya kuchinja watu, , mbona waislamu tunaangalia tu hizo movieShida sio kuwa na maudhui ya kidini naomba unielewe ndugu yangu katika Imani
Shida ni kupambanisha Imani za watu, moja kuichora kama Imani safi na nyingine kuwaita wadhalimu hii si sawa, na tena wanatumia hadi nyenzo takatifu za Imani nyingine kudhihaki
Mbona bongo movie zipo movie nyingi tu ambazo huegemea desturi za kiislamu lakini bila kukashifi Imani ingine? Movie za madebe na hata Mohamed nurdin nyingi tu ziko hivyo
Shida sana acha tu , na hapo Chanel za kiislamu zingekuwa nyingi kuliko za kikristo pia angeleta uzi humuNi kweli alafu kwenye Azam Tv kuna channel nyingi za kikristo kuliko waislam
Channel za kikristo zilizo azam Tv
1.Tumaini Tv
2.Arise and Shine
3.WRM TV
4. Hope Channel
5.Upendo Tv
Za kiislam
1.Horizon Tv
2.Mahasin Tv
3.Tv Imaan.
Sasa Channel za kikristo zilivyo nyingi hivyo yeye bado kaamua kuziacha na kwenda kuangalia maudhui asiyo yapenda sijui anakwama wapi