NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #81
Sasa Kama yupo sahihi KWA alichokizungumza KWA Nini kimefutwa?!Kama kuna mchawi anaefanya hivyo kwa wachezaji wanaoondoka Yanga kuwaumiza aache aisee...inawezekana anafanya bila consent ya club kama club ila kwa chuki zake tuu kwa wachezaji wanaoamua kuondoka na mahaba yaliyopitiliza kwa Yanga..ajue anaichafua hyo club..mtu kama Mayele mpk aseme hivyo kila siku ujue kuna kitu kinamla moyoni mwake..
NA WEWE MTUMISHI BORA WA SERIKALI UMEPATA WAPI MUDA WA KUJA KUKOMMENT HAPA .Hasa vijana. Asubuhi hii saa 3 tayari mabishano yameshashamiri vijiweni timu ya Nani mbovu ya Nani nzuri. Serikali ndio maana inawekeza kwenye mpira kuwachota vijana wajinga.
LETA NA NUKUU YA RAGE"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI" - DR LUC EYMAEL 2020
Kwani yy ndo kaomba ifutwe? Inayowaumiza ndo wameomba ifutwe...Sasa Kama yupo sahihi KWA alichokizungumza KWA Nini kimefutwa?!
Tususie bidhaa zao kama tulivyofanya kwa Feisal, ikiwa ni pamoja na kusitisha kutumia uwanja waoMaoni Yangu: Endapo Azam media wasipoomba Radhi mashabiki wa Yanga na viongozi pamoja na wadau wa mpira basi itafahamika kuwa Azam media watakua wametumika kuichafua Yanga Sc na mpira wetu kwa ujumla.
Wehu tu hao.Azamu ni Magaidi ........
Inachekesha sana, asifanyiwe ubaya Feitoto aliyeondoka kimizengwe, aje kufanyiwa Mayele aliyeuzwa..??? Mayele aache kutumika kuchafua YangaKwahy na ww tena unaniuliza swali.?
Kwenye kufuta kuna mambo mengi ndani yake ila sio kwamba kilichoongelewa n uongo, na ht kama ni uongo bc huo uongo n kutoka kwa mayele na sio Azam. Yanga waache kuwafanyia unyama wachezaji wao.
Hatari sana aise huyo ni kolo anatetea UJINGAInachekesha sana, asifanyiwe ubaya Feitoto aliyeondoka kimizengwe, aje kufanyiwa Mayele aliyeuzwa..??? Mayele aache kutumika kuchafua Yanga
Umeongea kama vile Yanga mna uwanja π ety msusie bidhaa za azam π Wabongo bhana πTususie bidhaa zao kama tulivyofanya kwa Feisal, ikiwa ni pamoja na kusitisha kutumia uwanja wao
Tulia ufurahie kuangalia mechi za Yanga kupitia Azam Tv, ww kama mshabiki huna lolote la kufanya zaidi ya hicho. Waachie wakuu wnyw watamalizanaWehu tu hao.
kuna Azam ambaye ni mshirika wa Yanga alafu kuna Azam ambae ni chombo cha habariUjue Yanga atambana Azam kumtaka kufuta content zote zinazomchafua kwa sababu Azam ndie mshirika wake tofauti na media zingine wao wanarusha tuu.