Azam TV jitokezeeni hadharani Muwaombe radhi viongozi wa Yanga Sc, mashabiki na wadau wa mpira kwa interview ya Fiston Mayele mliyoiyoifuta

Azam TV jitokezeeni hadharani Muwaombe radhi viongozi wa Yanga Sc, mashabiki na wadau wa mpira kwa interview ya Fiston Mayele mliyoiyoifuta

Kama kuna mchawi anaefanya hivyo kwa wachezaji wanaoondoka Yanga kuwaumiza aache aisee...inawezekana anafanya bila consent ya club kama club ila kwa chuki zake tuu kwa wachezaji wanaoamua kuondoka na mahaba yaliyopitiliza kwa Yanga..ajue anaichafua hyo club..mtu kama Mayele mpk aseme hivyo kila siku ujue kuna kitu kinamla moyoni mwake..
Sasa Kama yupo sahihi KWA alichokizungumza KWA Nini kimefutwa?!
 
Hasa vijana. Asubuhi hii saa 3 tayari mabishano yameshashamiri vijiweni timu ya Nani mbovu ya Nani nzuri. Serikali ndio maana inawekeza kwenye mpira kuwachota vijana wajinga.
NA WEWE MTUMISHI BORA WA SERIKALI UMEPATA WAPI MUDA WA KUJA KUKOMMENT HAPA .
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI" - DR LUC EYMAEL 2020
 
Maoni Yangu: Endapo Azam media wasipoomba Radhi mashabiki wa Yanga na viongozi pamoja na wadau wa mpira basi itafahamika kuwa Azam media watakua wametumika kuichafua Yanga Sc na mpira wetu kwa ujumla.
Tususie bidhaa zao kama tulivyofanya kwa Feisal, ikiwa ni pamoja na kusitisha kutumia uwanja wao
 
Kwahy na ww tena unaniuliza swali.?
Kwenye kufuta kuna mambo mengi ndani yake ila sio kwamba kilichoongelewa n uongo, na ht kama ni uongo bc huo uongo n kutoka kwa mayele na sio Azam. Yanga waache kuwafanyia unyama wachezaji wao.
Inachekesha sana, asifanyiwe ubaya Feitoto aliyeondoka kimizengwe, aje kufanyiwa Mayele aliyeuzwa..??? Mayele aache kutumika kuchafua Yanga
 
Tususie bidhaa zao kama tulivyofanya kwa Feisal, ikiwa ni pamoja na kusitisha kutumia uwanja wao
Umeongea kama vile Yanga mna uwanja 😂 ety msusie bidhaa za azam 😂 Wabongo bhana 🙌
 
Wafuga majini hawataki kuambiwa ukweli. Na wakiambiwa ukweli wnankuja juu
 
Wameomba radhi
1712936408938.jpg
 
Ujue Yanga atambana Azam kumtaka kufuta content zote zinazomchafua kwa sababu Azam ndie mshirika wake tofauti na media zingine wao wanarusha tuu.
kuna Azam ambaye ni mshirika wa Yanga alafu kuna Azam ambae ni chombo cha habari
 
Back
Top Bottom