Azam Tv kutoonyesha Michuano ya Afcon 2022

Azam Tv kutoonyesha Michuano ya Afcon 2022

Status
Not open for further replies.
Hiyo ya kufunga HUO NI UMBEA NA UONGO WADANGANYE WASIO IJUA DSTV....NA PIA KAMA WEWE HUWEZ LIPIA HILO NI TATIZO LAKO...
UKWELI UTABAKI PALE PALE DSTV IKO VIZURI..na watu wananunua ving'amuzi na wanaendelea kuenjoy soka mubashara
Kinachofanya dstv kuwa na bei ndogo ya king'amuzi ni nini?
 
AFCON ni kama wanavofanyaga Kombe la Dunia. Television za Taifa ndo zinapewa haki ya kurusha
 
Usilazimishe kila mtu ajue uchoko wako, nimesema bei ya ving'amuzi hayo ya vifurushi uyaseme wewe bila kuniquote, dstv hadi anafikiria kufunga oparesheni zake tz kwa taarifa yako, ving'amuzi anauza 59000 bado wateja shida maana hawamudu malipo ya mwezi sasa kama mteja hamudu malipo ya mwezi dstv atapona vipi?

Hapo kwenye kufunga operations zake Tanzania umedanganya.
 
Si ana Ligue 1, Bundesliga
Huko ndo upuuzi mtupu, anaonesha mechi moja moja na wakati mwingine ratiba zinaingiliana mechi inaanzia kipindi cha pili!!! Kifupi Azam ni NBC League tu, bila hiyo hana maisha.
 
Swali gumu Sana. Inawezekana wepesi wa operation zao. Wanauza hivyo na hawana hasara. Azam wanauza bei juu lakini 70% ya wenye navyo wanaangalia FTA. Basi
Hii takwimu umeipata wapi mkuu?
 
Huko ndo upuuzi mtupu, anaonesha mechi moja moja na wakati mwingine ratiba zinaingiliana mechi inaanzia kipindi cha pili!!! Kifupi Azam ni NBC League tu, bila hiyo hana maisha.
Dstv nae ni EPL ukitoa hivyo hapa bongo hana jipya
 
Off course si wengi kiasi hicho kwa kuwa inajukikana wazi wao hawana FTA channels. Lakini startimes, na Azam wengi wasiofatilia mpira wanatumia kuangalizia taarifa za habari za nyumbani. Bila kusahau Safari channel kwa watoto.
Mbona TBC linapatikana FTA kwenye Dstv?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom