BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Asilimia 99.8 ya Watangazaji wa hizi media za sasa ni weupe sana vichwani, wao mada wanazo zijua ni za kusifia na kuabudu na pia Mada za Yanga na Simba. Nje ya Mada za Yanga na Simba na Mada za kusifia hawa watangazaji ni weupe sana vichwani na sijui wanapatikana vipi.
Media zimejaa vipindi vya kijinga na sababu ni kuwa na Watangazaji weupe sana kichwani.
Angali walivyo weupe.
Hawa mada zao kuu lazima ziwe Yanga na Simba.
====
Mtoto wa Rais wa zamani wa Marekani, John F Kennedy ametangaza kumuunga mkono mgombea urais wa nchi hiyo kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump.
Robert F Kennedy Jr ambaye alikuwa mgombea huru wa Urais ametangaza uamuzi huo kwenye mkutano wa hadhara Trump uliofanyika Arizona na kusema ataomba kuondolewa kwa jina lake miongoni mwa wagombea wa Urais.
Kennedy ambaye kwa muda mrefu wa maisha yake amekuwa mwanachama wa Democrat kilichomfanya kuondoka kwenye chama hicho ndicho kilichomsukuma kumuunga mkono rais wa zamani wa nchi hiyo, Donald Trump.
Donald Trump amempongeza Kennedy mwenye miaka 70 kwa uamuzi huo aliouita “wa kipee” na kumkaribisha kwenye kampeni zake.
Mpinzani mkubwa wa Trump kwenye uchaguzi wa Marekani, Kamala Harris amenukuliwa akisema “atajaribu kupata kura za waliokuwa wanamuunga mkono Kennedy”.