Clarity
JF-Expert Member
- Jul 6, 2010
- 1,828
- 2,637
Juzi nimemsikia mtangazaji akisoma taarifa ya habari radio wasafi akitamka ugonjwa wa Mpox akisema mpoksi kama ilivyo kwa kweli nilijisikia vibaya halafu si kama alikosea maana alirudia mara tatuMim nimsikilizaj mzur sana wa redio,nshagundua watangazaj wengi wa sasa hawajui kabisa vitu vingi hasa hasa vinavyohusiana na siasa,hesabu,jiografia na mambo mengi ya kisayansi
Nilishangaa siku moja kusikia Millard ayo hajui kama mimea ni kiumbe hai