Ni kweli, maana yake huyu mtangazaji hakufaulu hata jiografia ya std 7Kule TBC Kuna mmoja alisema meli ya magufuli itafika hadi burundi 😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, maana yake huyu mtangazaji hakufaulu hata jiografia ya std 7Kule TBC Kuna mmoja alisema meli ya magufuli itafika hadi burundi 😆😆
Mwijaku,juma lokole,divaMim nimsikilizaj mzur sana wa redio,nshagundua watangazaj wengi wa sasa hawajui kabisa vitu vingi hasa hasa vinavyohusiana na siasa,hesabu,jiografia na mambo mengi ya kisayansi
Nilishangaa siku moja kusikia Millard ayo hajui kama mimea ni kiumbe hai
Mwijaku siku moja yupo live anasema mlima kilimanjaro upo ArushaMwijaku,juma lokole,diva
Hawa unategemea watatoa michango gani kwenye siasa za kimataifa??kama mada itapita ktk kipindi chao,watajaribu kuijadili kisha wataingia matopeni kama kawaida.
Hata mtu maarufu kama kitenge kuna mambo kibao tu huwa anapuyanga.
Tena wa tatu kati ya watoto kumi na moja wa Robert F. Kennedy.Ni Mtoto wa Robert F Kennedy ambaye alikuwa mdogo wake na Rais John F Kennedy wa Marekani na wote hao mtu na mdogo wake waliuliwa kwa kupigwa risasi.
Sasa uliposahihisha ni wapi? Mpaka uulizwe?Asilimia 99.8 ya Watangazaji wa hizi media za sasa ni weupe sana vichwani, wao mada wanazo zijua ni za kusifia na kuabudu na pia Mada za Yanga na Simba. Nje ya Mada za Yanga na Simba na Mada za kusifia hawa watangazaji ni weupe sana vichwani na sijui wanapatikana vipi.
Media zimejaa vipindi vya kijinga na sababu ni kuwa na Watangazaji weupe sana kichwani.
Angali walivyo weupe.
Hawa mada zao kuu lazima ziwe Yanga na Simba.
====
View attachment 3078124
Mtoto wa Rais wa zamani wa Marekani, John F Kennedy ametangaza kumuunga mkono mgombea urais wa nchi hiyo kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump.
Robert F Kennedy Jr ambaye alikuwa mgombea huru wa Urais ametangaza uamuzi huo kwenye mkutano wa hadhara Trump uliofanyika Arizona na kusema ataomba kuondolewa kwa jina lake miongoni mwa wagombea wa Urais.
Kennedy ambaye kwa muda mrefu wa maisha yake amekuwa mwanachama wa Democrat kilichomfanya kuondoka kwenye chama hicho ndicho kilichomsukuma kumuunga mkono rais wa zamani wa nchi hiyo, Donald Trump.
Donald Trump amempongeza Kennedy mwenye miaka 70 kwa uamuzi huo aliouita “wa kipee” na kumkaribisha kwenye kampeni zake.
Mpinzani mkubwa wa Trump kwenye uchaguzi wa Marekani, Kamala Harris amenukuliwa akisema “atajaribu kupata kura za waliokuwa wanamuunga mkono Kennedy”.