Azam TV, kwamba Robert F. Kennedy ni mtoto wa John F Kenedy?

Azam TV, kwamba Robert F. Kennedy ni mtoto wa John F Kenedy?

Mtuache...
Mshaambiwa burudani kwa wote.
Kama burudani hupati uwe unasema 😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Nilishangaa siku moja kusikia Millard ayo hajui kama mimea ni kiumbe hai
Unashangaa nini wakati Ayo form 4 alikula div 4 ya Mwisho Mwisho
iMarkup_20240824_183713.jpg
 
Hawakukosea, labda ni lugha tu inakupiga chenga. Mimi sijawasikia walichokiongea. Nijuwavyo huyo ni mpwa wa John F. Kennedy. Kiswahili "mpwa" au mtoto wa dada'ko au kaka'ko ni mtoto wako ingawa siyo mwanao.
Mwambie Mjomba ni Mama Ila hanyonyeshi sababu hana matiti
 
Mim nimsikilizaj mzur sana wa redio,nshagundua watangazaj wengi wa sasa hawajui kabisa vitu vingi hasa hasa vinavyohusiana na siasa,hesabu,jiografia na mambo mengi ya kisayansi

Nilishangaa siku moja kusikia Millard ayo hajui kama mimea ni kiumbe hai
... ana followers kibao hayo mengine sio ya muhimu kwake.

Kuna siku za nyuma niliwahi kumsikia aliyekuwa askofu mkuu wa Mlima wa Moto Ministry the late Dk. Gertrude Rwakatare akihoji kwa kufoka, kama una njia nyingine ya kukupatia maziwa kwanini uhangaike kufuga? Haya!
 
Asilimia 99.8 ya Watangazaji wa hizi media za sasa ni weupe sana vichwani, wao mada wanazo zijua ni za kusifia na kuabudu na pia Mada za Yanga na Simba. Nje ya Mada za Yanga na Simba na Mada za kusifia hawa watangazaji ni weupe sana vichwani na sijui wanapatikana vipi.

Media zimejaa vipindi vya kijinga na sababu ni kuwa na Watangazaji weupe sana kichwani.
Hawa mada zao kuu lazima ziwe Yanga na Simba.
Japo ni kweli media ya Tanzania tuna tatizo la umahiri, lakini sio kweli waandishi wa habari na Watangazaji mahiri ni asilimia 2% tuu halafu asilimia 98 ni vilaza!.
Watangazaji wazuri wapo wengi tuu tatizo ni media owners wa mainstream media. Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo? hivyo Tanzania tuna uhuru wa habari, ila media oga! Tungekuwa mbali sana kimaendeleo, rushwa, uhujumu, ufisadi, ubadhirifu vingeibuliwa kabla

P
 
Robert ni Mpwa wa John F Kenn3dy Raisi wa zamani wa Marekani n wala sio mtoto wake,
Hiki wala sio kipimo sahihi cha uwezo wao mbona waandishi marekani hawamjui Makongoro Nyerere 🀣🀣.
Hawaijui hata TZ kama ninchi 🀣🀣 msijione wasomi kwakujua wasiowahusu!!
 
Hiki wala sio kipimo sahihi cha uwezo wao mbona waandishi marekani hawamjui Makongoro Nyerere 🀣🀣.
Hawaijui hata TZ kama ninchi 🀣🀣 msijione wasomi kwakujua wasiowahusu!!
Wamjue ili iweje πŸ€” sio ajabu hata hawajui Raisi wa Tanzania ni nani wao matajiri watafute habari za nchi maskini kama Tanzania za nini πŸ€”
 
Asilimia 99.8 ya Watangazaji wa hizi media za sasa ni weupe sana vichwani, wao mada wanazo zijua ni za kusifia na kuabudu na pia Mada za Yanga na Simba. Nje ya Mada za Yanga na Simba na Mada za kusifia hawa watangazaji ni weupe sana vichwani na sijui wanapatikana vipi.

Media zimejaa vipindi vya kijinga na sababu ni kuwa na Watangazaji weupe sana kichwani.

Angali walivyo weupe.

Hawa mada zao kuu lazima ziwe Yanga na Simba.

====

View attachment 3078124
Mtoto wa Rais wa zamani wa Marekani, John F Kennedy ametangaza kumuunga mkono mgombea urais wa nchi hiyo kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump.

Robert F Kennedy Jr ambaye alikuwa mgombea huru wa Urais ametangaza uamuzi huo kwenye mkutano wa hadhara Trump uliofanyika Arizona na kusema ataomba kuondolewa kwa jina lake miongoni mwa wagombea wa Urais.

Kennedy ambaye kwa muda mrefu wa maisha yake amekuwa mwanachama wa Democrat kilichomfanya kuondoka kwenye chama hicho ndicho kilichomsukuma kumuunga mkono rais wa zamani wa nchi hiyo, Donald Trump.

Donald Trump amempongeza Kennedy mwenye miaka 70 kwa uamuzi huo aliouita β€œwa kipee” na kumkaribisha kwenye kampeni zake.

Mpinzani mkubwa wa Trump kwenye uchaguzi wa Marekani, Kamala Harris amenukuliwa akisema β€œatajaribu kupata kura za waliokuwa wanamuunga mkono Kennedy”.
Robert Francis Kennedy jr(dogo) alizaliwa 1954 baba yake Robert Francis Kennedy sr. ni tofauti na John Fitzgerad Kennedy aliyewahi kuwa rais mdogo kuliko wote, sijui uhusiano umeutoa wapi.
Unakashifu wakati wewe haujui!
 
Huyo mleta mada ni mshamba tena poyoyo asiyejuwa utamaduni wa Kitanzania.
Mpwa anabakia kuwa mpwa. Mtoto anabakia kuwa mtoto.. kama media imetangaza ni mtoto wa J.F. Kennedy hilo ni kosa kubwa. Kwani wangesema mpwa wangepungukiwa nin?? Tatizo hawajui hilo.
 
Mim nimsikilizaj mzur sana wa redio,nshagundua watangazaj wengi wa sasa hawajui kabisa vitu vingi hasa hasa vinavyohusiana na siasa,hesabu,jiografia na mambo mengi ya kisayansi

Nilishangaa siku moja kusikia Millard ayo hajui kama mimea ni kiumbe hai
Sasa n

Ukiacha madereva, mapolice manesi pia watangazaji na waandishi wa habari wengi walifeli form 4 hayo ndio matokeo yake.
 
mkuu ww ndio mjinga sio hao azam..mbona azam wapo sahihi tu rais John F.keneddy na Robert F. keneddy ni mtu na kaka yake sasa huyu Robert F. keneddy Jr.ni mtoto wa Robert so anamwita rais John keneddy baba mkubwa kwahiyo azam kusema mtoto wa rais keneddy ni sawa maana mtoto wa kaka yako pia ni mwanao anakuita baba..

Haya uliyoongea ni mambo ambayo Nyerere alitulisha ili tuweze kuwa na umoja

So unataka kusema Mtoto wa mdogo wako akiambiwa mwite Baba yako mkanyongwe wote je wewe utaenda?
 
Back
Top Bottom