Azam TV, kwamba Robert F. Kennedy ni mtoto wa John F Kenedy?

Mtuache...
Mshaambiwa burudani kwa wote.
Kama burudani hupati uwe unasema 😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Hawakukosea, labda ni lugha tu inakupiga chenga. Mimi sijawasikia walichokiongea. Nijuwavyo huyo ni mpwa wa John F. Kennedy. Kiswahili "mpwa" au mtoto wa dada'ko au kaka'ko ni mtoto wako ingawa siyo mwanao.
Mwambie Mjomba ni Mama Ila hanyonyeshi sababu hana matiti
 
Mim nimsikilizaj mzur sana wa redio,nshagundua watangazaj wengi wa sasa hawajui kabisa vitu vingi hasa hasa vinavyohusiana na siasa,hesabu,jiografia na mambo mengi ya kisayansi

Nilishangaa siku moja kusikia Millard ayo hajui kama mimea ni kiumbe hai
... ana followers kibao hayo mengine sio ya muhimu kwake.

Kuna siku za nyuma niliwahi kumsikia aliyekuwa askofu mkuu wa Mlima wa Moto Ministry the late Dk. Gertrude Rwakatare akihoji kwa kufoka, kama una njia nyingine ya kukupatia maziwa kwanini uhangaike kufuga? Haya!
 
Japo ni kweli media ya Tanzania tuna tatizo la umahiri, lakini sio kweli waandishi wa habari na Watangazaji mahiri ni asilimia 2% tuu halafu asilimia 98 ni vilaza!.
Watangazaji wazuri wapo wengi tuu tatizo ni media owners wa mainstream media. Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo? hivyo Tanzania tuna uhuru wa habari, ila media oga! Tungekuwa mbali sana kimaendeleo, rushwa, uhujumu, ufisadi, ubadhirifu vingeibuliwa kabla

P
 
Robert ni Mpwa wa John F Kenn3dy Raisi wa zamani wa Marekani n wala sio mtoto wake,
Hiki wala sio kipimo sahihi cha uwezo wao mbona waandishi marekani hawamjui Makongoro Nyerere 🀣🀣.
Hawaijui hata TZ kama ninchi 🀣🀣 msijione wasomi kwakujua wasiowahusu!!
 
Hiki wala sio kipimo sahihi cha uwezo wao mbona waandishi marekani hawamjui Makongoro Nyerere 🀣🀣.
Hawaijui hata TZ kama ninchi 🀣🀣 msijione wasomi kwakujua wasiowahusu!!
Wamjue ili iweje πŸ€” sio ajabu hata hawajui Raisi wa Tanzania ni nani wao matajiri watafute habari za nchi maskini kama Tanzania za nini πŸ€”
 
Robert Francis Kennedy jr(dogo) alizaliwa 1954 baba yake Robert Francis Kennedy sr. ni tofauti na John Fitzgerad Kennedy aliyewahi kuwa rais mdogo kuliko wote, sijui uhusiano umeutoa wapi.
Unakashifu wakati wewe haujui!
 
Huyo mleta mada ni mshamba tena poyoyo asiyejuwa utamaduni wa Kitanzania.
Mpwa anabakia kuwa mpwa. Mtoto anabakia kuwa mtoto.. kama media imetangaza ni mtoto wa J.F. Kennedy hilo ni kosa kubwa. Kwani wangesema mpwa wangepungukiwa nin?? Tatizo hawajui hilo.
 
Mim nimsikilizaj mzur sana wa redio,nshagundua watangazaj wengi wa sasa hawajui kabisa vitu vingi hasa hasa vinavyohusiana na siasa,hesabu,jiografia na mambo mengi ya kisayansi

Nilishangaa siku moja kusikia Millard ayo hajui kama mimea ni kiumbe hai
Sasa n

Ukiacha madereva, mapolice manesi pia watangazaji na waandishi wa habari wengi walifeli form 4 hayo ndio matokeo yake.
 
Haya uliyoongea ni mambo ambayo Nyerere alitulisha ili tuweze kuwa na umoja

So unataka kusema Mtoto wa mdogo wako akiambiwa mwite Baba yako mkanyongwe wote je wewe utaenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…