Azam TV, kwamba Robert F. Kennedy ni mtoto wa John F Kenedy?

Wako sahihi japo si mtoto wake wa kuzaa ni mtoto wa mdogo wake! Hivyo ni mtoto wake tu

Britanicca
 
Mim nimsikilizaj mzur sana wa redio,nshagundua watangazaj wengi wa sasa hawajui kabisa vitu vingi hasa hasa vinavyohusiana na siasa,hesabu,jiografia na mambo mengi ya kisayansi

Nilishangaa siku moja kusikia Millard ayo hajui kama mimea ni kiumbe hai
Mwijaku,juma lokole,diva

Hawa unategemea watatoa michango gani kwenye siasa za kimataifa??kama mada itapita ktk kipindi chao,watajaribu kuijadili kisha wataingia matopeni kama kawaida.

Hata mtu maarufu kama kitenge kuna mambo kibao tu huwa anapuyanga.
 
Mwijaku siku moja yupo live anasema mlima kilimanjaro upo Arusha
 
Sasa uliposahihisha ni wapi? Mpaka uulizwe?
 
Babake alikuwa Attorney General wakati kakake akiwa Rais
Ndugu hao wawili waliuawa Kwa risasi kwa nyakati tofauti
 
They are killing the keneddies, alitamka Jackline Kennedy mke wa Rais akiwa uhamishoni baada ya kukimbia Marekani na kuamua kuishi na bilionea wa kigiriki Onassis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…