Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

Mkuu umetumia busara sana kuhitaji arguments za sisi tunaoona pesa ni ndogo...Iko hivi

1. Umewahi kujiuliza ni vibanda umiza vingapi, watanzania wangapi na lounge au lodge ngapi zinazolipia kile kifurushi ili tu kuangalia mpira (hapa naongelea active customers)..achana na channel zingine.

Mfano, tuweke makadirio ya chini..wenye ving'amuzi nchi nzima ni Milioni moja...na tuweke makadirio ya chini tu kuwa kifurushi kwa mwezi ni elfu kumi.

so, mapato kwa mwezi 1 tu ni 1,000,000 * 10,000 = 10,000,000,000 (bilion 10) ambayo ni sawa na Bilion 80 kwa mwaka (nimepiga mahesabu tu ya ile miezi 8 ambayo ligi inakuwa active)..Hapo sijaongelea wateja wapya wanaonunua ving'amuzi vyao kwasababu tu ili waone mechi za vpl.

Kumbuka hapo bei halisi sio 10k (kwa sasa ni 20k) na wateja wanaohitaji kuangalia mechi ni zaidi ya 1m...Hapa lets assume ile gharama nyingine ya king'amuzi na idadi ya nyongeza ya wateja (10,000 * 500,000 = 5b kwa mwezi), mapato yao yatatumika kwenye kucover costs of operations..

2. Channel zao zinazoonesha mechi zitapata matangazo ya wadhamini wengi sana...kama ambavyo hawa wauza solar wanatangaza kwenye hizi channel...

3. Miaka 10 ni muda mrefu sana, ndani ya huo muda usitegemee gharama ya kulipia vifurushi itabaki constant (20k per month).. Kuna expectation kubwa kuwa itapanda maana demand ya service inaongezeka...hapo faida itakuwa maradufu.

Risk pekee kwa azam ni endapo majanga kama haya ya covid yatatokea (siombei yatokee).

Wengine wataongezea.
Umesahau kuzungumzia uhusiano uliopo kati ya mkataba wa Azam na changamoto za timu ndogo za kwenye ligi yetu.
Ugetuletea mahesabu na muelekeo wa ligi kwenye hiyo miaka 10 ya mkataba tuone itakavyokuwa, maana kuzungumzia upande mmoja tu wa Azam inakuwa kama yeye ndiyo mnufaika pekee.
 
Kaka hata kwa hesabu ndogo kiasi gani hio sio pesa ndogo imagine simba ndio club yenye mkataba mnono kwa sasa na ana ana mkataba wa billion 2.5 per year toka vunja bei sasa chukua bilion 225 gawanya kwa mwaka unapata bilion 22.5.

Zigawe kwa vilabu 16 vitavocheza ligi kuu msimu ujao unapata karibia billion 1.5 kwa club sasa unakuaje mkataba mdogo tena wenye kuwa na muda wa miaka 10 na ukizingatia ligi yetu kiuhalisia ni chenga na utopolo mtupu.

Tuwape hongera Azam kwa kutufikisha Hapa mwaka 2011 kurudi ulikua huwez hata kuona mechi yoyote bongo labda Simba na Yanga tena kwa low quality na nina uhakika tulikua hatuoni madudu ya marefa na ubovu was team za ligi ilikua ni ukanjanja mtupu kabla.

Azam media group wamefanya makubwa hata kuwa na team nzuri hata huo ubora simba na yanga wanajisifu nao Azam wamechangia pakubwa mno.

Unajua mkataba uliopita ulikuwa kiasi gani ndugu kwa taarifa yako tu hela ya mwaka mmoja kwa sasa ndio ilikuwa inatolewa kwa miaka mitano iliyopita in total bil 23 zilikuwa.

So timu now zitafaidika naamini pesa itaongeza na kwa vilabu pia
 
Kwan n ngumu wakapewa deal company mbili let say azam na dstv.????

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kwa nature ya hii biashara (Haki za kuonesha mpira) ilivyo ni ngumu sana investors wawili kuexist kwa pamoja..Lazima mmoja afe..kwasababu

Market bado ni dogo sana kuhitaji two suppliers...Gharama za kuendesha biashara zinakuwa juu kuliko faida mtakayogawana..chukulia mfano kwenye soko la ving'amuzi tu..kuna kampuni zingine naamini zinapata faida ndogo sana au inawezekana zinapata loss kwasababu tayari soko ni dogo halitoshi watu wawili..Kuna aina za ving'amuzi huwa nazisikia tu redioni ila hadi leo sijawahi kuviona vinatumika majumbani..vipo ila wateja ni wachache sana.

Sasa Ukimuweka AZAM na DSTV kwa ligi moja ya bongo na ambayo market 99.5% ipo bongo lazima wagawane faida na mmoja lazima aanguke maana cost of production ni kubwa kuliko market share.

Najua utakuwa unajiuliza kwanini kuna TIGO, VODA, AIRTEL, HALOTEL, ZANTEL n.k at the same time na wote wanapata faida...Jibu ni rahisi tu kuwa market ni kubwa (zaidi ya watu 30m wanatumia simu) na unakuta mtu mmoja anamiliki line zote...ila watu wanaomiliki ving'amuzi viwili kwa pamoja ni wachache sana kutokana na per capital income za raia.

So, kwa hii biashara ya kuonesha mpira wa ligi ya bongo (taking into consideration the current situation) ni ngumu sana sana sana DSTV na AZAM kuonesha kwa pamoja...Kwanza kati yao hakuna atakaekubali...Kitu pekee ambacho watakubali kufanya ni kugombania tender tu ila sio kuonesha kwa pamoja..

Ndio maana watu wanalalamika miaka 10 ni mingi sana ilibidi iwe michache ili kutoa nafasi kwa bidders kugombania tenda na TFF pamoja na vilabu kuzidi kupata masilahi mazuri. Hii ya mtu mmoja kumiliki soko kwa 10yrs inaua ubunifu.

Swali fikirishi kidogo kwako mkuu:

Yule MO kama mjasiriamali, unadhani hajaiona fursa kwenye kuonesha soka?, unadhani anashindwa kuanzisha channel yake ili aoneshe?..Anaweza 100% ila tatizo soko automatically haliruhusu more than one supplier/producer...

Otherwise angekuwa tayari kuanzisha TV ili agombee tender lakini ndo hivo miaka 10 inabidi abaki na idea + ubunifu kichwani.....TFF wamefeli sana.
 
Kwa nature ya hii biashara (Haki za kuonesha mpira) ilivyo ni ngumu sana investors wawili kuexist kwa pamoja..Lazima mmoja afe..kwasababu

Market bado ni dogo sana kuhitaji two suppliers...Gharama za kuendesha biashara zinakuwa juu kuliko faida mtakayogawana..chukulia mfano kwenye soko la ving'amuzi tu..kuna kampuni zingine naamini zinapata faida ndogo sana au inawezekana zinapata loss kwasababu tayari soko ni dogo halitoshi watu wawili..Kuna aina za ving'amuzi huwa nazisikia tu redioni ila hadi leo sijawahi kuviona vinatumika majumbani..vipo ila wateja ni wachache sana.

sasa Ukimuweka AZAM na DSTV kwa ligi moja ya bongo na ambayo market 99.5% ipo bongo lazima wagawane faida na mmoja lazima aanguke maana cost of production ni kubwa kuliko market share.

Yan apo kwenye miaka kumi....

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
TFF nao wameanza issue kama za Serikali na mikataba mireefu...mkataba ni mzuri ila uwe wa muda mfupi mfupi...mkataba wa muda mrefu ni kuzinyima kampuni nyingine fursa hata kama ni watatoa dau kubwa...Otherwise kampuni nyingine itabidi ziilipe azam kupata rights, then azam atakua anakula cha juu km middle man.
 
Ishu sio udogo wala ukubwa
Ishu miaka 10?
DStv akija na ofa mara tatu ya hiyo baaada ya miaka 5 hawawezi vunja mkataba?
Azam kaona mbali DSTV anachukua haki za EPL Africa kwa muda mrefu ili kuzuia ushindaji lakini tujiulize kwa nini to AZAM tv alipoingia kurusha mpira kumekua na mabadiliko makubwa sana.Tuthamini vya kwetu huyo DSTV amekuja na kutoka mara nyingi na target yake kubwa ilikuwa mechi ya Simba v Yanga tu.Yani tutazame wageni wasiojali kama Njombe FC,Mbeya kwanza,Gwambina nk.Heko kwa azam.Vodacom nao ni muda wa kuboresha kifurushi kama kweli wanajiita wadhamini wakuu.Imani baada ya Azam kua seroius na Business na wadhamini wengine watakua serious,Serikali na CCM watakua seroius kwenye miundo mbinu.
 
Miaka 10???

Sasa kama dstv akija na offer ya trillion 1 miaka mitatu ijayo???

Hapa kuna upigaji mkubwa umefanyika, serikali fanyeni uchunguzi
Mkuu tutumie kilichopo au tuendelee kumsubiri DSTV!!
Je umeupitia mkataba ukaona hakuna nafasi ya huyo DSTV na wengine kupewa nafasi ndani ya hiyo miaka 10!!
Nadhani sote tunaolalamika muda wa mkataba ni mrefu ikiwemo mimi tungesubiri ufafanuzi wa hili jambo toka kwa wahusika.
 
Kwa nature ya hii biashara (Haki za kuonesha mpira) ilivyo ni ngumu sana investors wawili kuexist kwa pamoja..Lazima mmoja afe..kwasababu

Market bado ni dogo sana kuhitaji two suppliers...Gharama za kuendesha biashara zinakuwa juu kuliko faida mtakayogawana..chukulia mfano kwenye soko la ving'amuzi tu..kuna kampuni zingine naamini zinapata faida ndogo sana au inawezekana zinapata loss kwasababu tayari soko ni dogo halitoshi watu wawili..Kuna aina za ving'amuzi huwa nazisikia tu redioni ila hadi leo sijawahi kuviona vinatumika majumbani..vipo ila wateja ni wachache sana.

sasa Ukimuweka AZAM na DSTV kwa ligi moja ya bongo na ambayo market 99.5% ipo bongo lazima wagawane faida na mmoja lazima aanguke maana cost of production ni kubwa kuliko market share.

Najua utakuwa unajiuliza kwanini kuna TIGO, VODA, AIRTEL, HALOTEL, ZANTEL n.k at the same time na wote wanapata faida...Jibu ni rahisi tu kuwa market ni kubwa (zaidi ya watu 30m wanatumia simu) na unakuta mtu mmoja anamiliki line zote...ila watu wanaomiliki ving'amuzi viwili kwa pamoja ni wachache sana kutokana na per capital income za raia.

So, kwa hii biashara ya kuonesha mpira wa ligi ya bongo (taking into consideration the current situation) ni ngumu sana sana sana DSTV na AZAM kuonesha kwa pamoja...Kwanza kati yao hakuna atakaekubali...Kitu pekee ambacho watakubali kufanya ni kugombania tender tu ila sio kuonesha kwa pamoja..

Ndio maana watu wanalalamika miaka 10 ni mingi sana ilibidi iwe michache ili kutoa nafasi kwa bidders kugombania tenda na TFF pamoja na vilabu kuzidi kupata masilahi mazuri. Hii ya mtu mmoja kumiliki soko kwa 10yrs inaua ubunifu.

Swali fikirishi kidogo kwako mkuu:

Yule MO kama mjasiriamali, unadhani hajaiona fursa kwenye kuonesha soka?, unadhani anashindwa kuanzisha channel yake ili aoneshe?..Anaweza 100% ila tatizo soko automatically haliruhusu more than one supplier/producer...

Otherwise angekuwa tayari kuanzisha TV ili agombee tender lakini ndo hivo miaka 10 inabidi abaki na idea + ubunifu kichwani.....TFF wamefeli sana.
Lakini Mkuu Mbna EPL Nadhani Kuna Two Companies ambazo zinaonesha Ligi Hyo if am not mistaken
 
TFF nao wameanza issue km za Serikali na mikataba mireefu...mkataba ni mzuri ila uwe wa muda mfupi mfupi...mkataba wa muda mrefu ni kuzinyima kampuni nyingine fursa ht km ni watatoa dau kubwa...Otherwise kampuni nyingine itabidi ziilipe azam kupata rights, then azam atakua anakula cha juu km middle man.
Unapenda vitu vya muda mfupi mfupi kama mikataba ya simba na yanga. Ndio maana hatuendelei kwa kuwa tunataka kufurahia leo leo tu.
 
Yan, ata matangazo ya ushindan hatukuyaona..

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ila ukiangalia sana ni nani mwenye ubavu wa kuendana na Azam kwa Bongo; labda DSTV ?, Na DSTV je wanaona value for Money? Nina uhakika Azam angekuwa bahili angeweza kutenga pesa pungufu na jamaa wakazichukua (kwa hio hio exclusivity)
 
Kwa nature ya hii biashara (Haki za kuonesha mpira) ilivyo ni ngumu sana investors wawili kuexist kwa pamoja..Lazima mmoja afe..kwasababu

Market bado ni dogo sana kuhitaji two suppliers...Gharama za kuendesha biashara zinakuwa juu kuliko faida mtakayogawana..chukulia mfano kwenye soko la ving'amuzi tu..kuna kampuni zingine naamini zinapata faida ndogo sana au inawezekana zinapata loss kwasababu tayari soko ni dogo halitoshi watu wawili..Kuna aina za ving'amuzi huwa nazisikia tu redioni ila hadi leo sijawahi kuviona vinatumika majumbani..vipo ila wateja ni wachache sana.

sasa Ukimuweka AZAM na DSTV kwa ligi moja ya bongo na ambayo market 99.5% ipo bongo lazima wagawane faida na mmoja lazima aanguke maana cost of production ni kubwa kuliko market share.

Najua utakuwa unajiuliza kwanini kuna TIGO, VODA, AIRTEL, HALOTEL, ZANTEL n.k at the same time na wote wanapata faida...Jibu ni rahisi tu kuwa market ni kubwa (zaidi ya watu 30m wanatumia simu) na unakuta mtu mmoja anamiliki line zote...ila watu wanaomiliki ving'amuzi viwili kwa pamoja ni wachache sana kutokana na per capital income za raia.

So, kwa hii biashara ya kuonesha mpira wa ligi ya bongo (taking into consideration the current situation) ni ngumu sana sana sana DSTV na AZAM kuonesha kwa pamoja...Kwanza kati yao hakuna atakaekubali...Kitu pekee ambacho watakubali kufanya ni kugombania tender tu ila sio kuonesha kwa pamoja..

Ndio maana watu wanalalamika miaka 10 ni mingi sana ilibidi iwe michache ili kutoa nafasi kwa bidders kugombania tenda na TFF pamoja na vilabu kuzidi kupata masilahi mazuri. Hii ya mtu mmoja kumiliki soko kwa 10yrs inaua ubunifu.

swali fikirishi kidogo kwako mkuu:

Yule MO kama mjasiriamali, unadhani hajaiona fursa kwenye kuonesha soka?, unadhani anashindwa kuanzisha channel yake ili aoneshe?..Anaweza 100% ila tatizo soko automatically haliruhusu more than one supplier/producer...

Otherwise angekuwa tayari kuanzisha TV ili agombee tender lakini ndo hivo miaka 10 inabidi abaki na idea + ubunifu kichwani.....TFF wamefeli sana.
Wewe umedadavua vizuri sana. Ubarikiwe mkuu.
 
Mkuu umetumia busara sana kuhitaji arguments za sisi tunaoona pesa ni ndogo...Iko hivi

1. Umewahi kujiuliza ni vibanda umiza vingapi, watanzania wangapi na lounge au lodge ngapi zinazolipia kile kifurushi ili tu kuangalia mpira (hapa naongelea active customers)..achana na channel zingine.

Mfano, tuweke makadirio ya chini..wenye ving'amuzi nchi nzima ni Milioni moja...na tuweke makadirio ya chini tu kuwa kifurushi kwa mwezi ni elfu kumi.

so, mapato kwa mwezi 1 tu ni 1,000,000 * 10,000 = 10,000,000,000 (bilion 10) ambayo ni sawa na Bilion 80 kwa mwaka (nimepiga mahesabu tu ya ile miezi 8 ambayo ligi inakuwa active)..Hapo sijaongelea wateja wapya wanaonunua ving'amuzi vyao kwasababu tu ili waone mechi za vpl.

Kumbuka hapo bei halisi sio 10k (kwa sasa ni 20k) na wateja wanaohitaji kuangalia mechi ni zaidi ya 1m...Hapa lets assume ile gharama nyingine ya king'amuzi na idadi ya nyongeza ya wateja (10,000 * 500,000 = 5b kwa mwezi), mapato yao yatatumika kwenye kucover costs of operations..

2. Channel zao zinazoonesha mechi zitapata matangazo ya wadhamini wengi sana...kama ambavyo hawa wauza solar wanatangaza kwenye hizi channel...

3. Miaka 10 ni muda mrefu sana, ndani ya huo muda usitegemee gharama yakulipia vifurushi itabaki constant (20k per month)..Kuna expectation kubwa kuwa itapanda maana demand ya service inaongezeka...hapo faida itakuwa maradufu.

Risk pekee kwa azam ni endapo majanga kama haya ya covid yatatokea (siombei yatokee).

Wengine wataongezea.
1.data Za Tcra kuna Madishi 1.1m Tanzania nzima, hapa Angalia

Ni data za mwaka uliopita, hio 1.1m ni wote DSTV, Zuku, Azam na wengineo.

Hivyo kuna uwezekano Azam hana 1m monthly subscribers.

2. Kama Data zako zipo sahihi anapata 80B kwa mwaka still kutoa 22B kudhamini ligi ni kubwa sana Kibiashara.
-Uganda azam analipa around 4B Tsh
-Kenya kila timu wanapewa ksh 10m ambayo ni around milioni 200 tsh.

Kwa East Africa hakuna anaepata kama sisi.

Si hivyo tu, hata ukiangalia makampuni ya Kimataifa dstv analipa epl around 200m akiwa na Pato la around 2B kwa mwaka ambayo roughly ni kama 10% ya Pato lake.

Hio 22B ni ligi Ya Tanzania tu, bado analipa Ligi za nje, chanel za kulipia kama za Kihindi, movies na series wanazo tafsiri etc.

3. Naunga hoja wanaohoji miaka 10 wana point, Kwa muono wangu hili deal linamungizia Hasara Azam kwa short term, no way Ligi yetu iwe na thamani hii.

DSTV analipa around Bilioni 500 kwa nchi takriban 46 za kusini mwa jangwa la sahara hii ni around 10B kwa kila Nchi. Kwamba ligi ya Tanzania ina thamani kuliko Epl?

Inaonekana Azam wame project kwa miaka 10 baadae Ligi yetu inaweza kuwa na thamani zaidi ya hii, hivyo mapema tu wamejipanga na kununua kabisa.

Ama kuna faida nyingine wanapata Toka serikalini kama Ruzuku.
 
Umesahau kuzungumzia uhusiano uliopo kati ya mkataba wa Azam na changamoto za timu ndogo za kwenye ligi yetu.
Ugetuletea mahesabu na muelekeo wa ligi kwenye hiyo miaka 10 ya mkataba tuone itakavyokuwa, maana kuzungumzia upande mmoja tu wa Azam inakuwa kama yeye ndiyo mnufaika pekee.
safi sana..

Mkuu nina uhakika 1000% muelekeo na hamasa ya ligi yetu itazidi kuongezeka siku hadi siku ndani ya hiyo miaka 10 kwa sababu tu SIMBA na YANGA bado ZIPO...

Kwa nature ya ligi yetu toka miaka hiyo ya 1980, timu kubwa ni 2 tu na ndo hizo wawekezaji wanaziangalia...we unazani simba na yanga zikihama nchi azam wataendelea na huo mkataba?..lazima watahangaika wauvunje maana ni hasara kwao..

So mazingira yanambeba azam kwa miaka mingi..mfano, tulikuwa na tukuyu stars, nazareti ya njombe, AFC ya arusha na zingine nyingi..zimepotea kwasababu ya changamoto nyingi lakini bado hamasa ya ligi iko pale pale..azam hapati faida kutoka kwa timu zingine bali anapata faida kutoka kwa wateja ambao 99.9999% ni mashabiki wa timu hizi mbili.....siku zote ligi ya bongo ni ya timu mbili tu..hata azam fc ikifa leo bado azam media watapata faida tu kwasababu timu ndogo hazina mashabiki ambao ndio target customers wa azam...Timu ndogo huwa zina matatizo miaka nenda rudi, who cares ila bado hamasa ipo juu...hata timu ya mwisho kwenye ligi ikiwa inacheza against simba au yanga kwenye uwanja wao lazima ujae tu na huku vibanda umiza watu watajaa tu...kwasababu mashabiki ni 'walevi' wa hizi timu..

Mazingira magumu kwa timu ndogo sio threat kwa investment ya azam...the main threat ni Kupotea kwa either yanga au simba..threat nyingine ni natural disasters kama covid.​
 
Mkuu hii point yako itengeneze vizuri then tuma kwenye ma group ya whatsap na kule instagram ili kila mtu ajue kiundani sio kupiga makofi huku tukinyonywa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app

Huwezi kujua kama unanyonywa wakati hujapata muda wa kujua kwa undani biashara yenyewe. Azam naye anacost nyingine ikiwemo gharama za wafanyakazi, kodi, maintainance, transport na abaki na faida tusichukulie mambo kwa mahesabu ya vidole ingia deeply utaona kuwa fedha hiyo kubwa ukilinganisha na aina ya miundo mbinu, brand za timu na uwekezaji kwenye timu.
 
Hii ligi tukiendelea kwa mwendo huu baada ya miaka 5 tutagundua azam walitufanyia uhuni...........

Mkataba ungekua ni wa 5 yrs, maana kufika 2025 nina imani ligi yetu itakua tajiri sana!
Tatizo nani wa kushindana na Azam? Ndio maana TFF wameona offer waliyopata DSTV ilikuwa ndogo sana na DSTV hawawezi kuja na offer kubwa kwa sababu wao wamejikita Africa nzima na huko watu wanataka kuona EPL na CL sio VPL. Kama Azam hawezi kuchukuwa EPL sababu moja ya masharti ya EPL ni kuwa na network Africa nzima jambo ambalo Azam bado sana labda miaka ijayo wakitaka kujitanua na kuwa na secure system inayokubalika. Azam kawekeza ndani zaidi na soko lake liko ndani zaidi na uwekezaji ni mkubwa kwenye vifaa vya kurusha matangazo. Kwanini miaka 10? Azam hana mpango wa kwenda nje ya Africa na TFF wanajuwa kabisa kama sio Azam hakuna wa kutoa pesa hiyo kwa hiyo bora nishike hii na Azam anasema nishike hapahapa. win win situation.
 
Mkuu umetumia busara sana kuhitaji arguments za sisi tunaoona pesa ni ndogo...Iko hivi

1. Umewahi kujiuliza ni vibanda umiza vingapi, watanzania wangapi na lounge au lodge ngapi zinazolipia kile kifurushi ili tu kuangalia mpira (hapa naongelea active customers)..achana na channel zingine.

Mfano, tuweke makadirio ya chini..wenye ving'amuzi nchi nzima ni Milioni moja...na tuweke makadirio ya chini tu kuwa kifurushi kwa mwezi ni elfu kumi.

so, mapato kwa mwezi 1 tu ni 1,000,000 * 10,000 = 10,000,000,000 (bilion 10) ambayo ni sawa na Bilion 80 kwa mwaka (nimepiga mahesabu tu ya ile miezi 8 ambayo ligi inakuwa active)..Hapo sijaongelea wateja wapya wanaonunua ving'amuzi vyao kwasababu tu ili waone mechi za vpl.

Kumbuka hapo bei halisi sio 10k (kwa sasa ni 20k) na wateja wanaohitaji kuangalia mechi ni zaidi ya 1m...Hapa lets assume ile gharama nyingine ya king'amuzi na idadi ya nyongeza ya wateja (10,000 * 500,000 = 5b kwa mwezi), mapato yao yatatumika kwenye kucover costs of operations..

2. Channel zao zinazoonesha mechi zitapata matangazo ya wadhamini wengi sana...kama ambavyo hawa wauza solar wanatangaza kwenye hizi channel...

3. Miaka 10 ni muda mrefu sana, ndani ya huo muda usitegemee gharama ya kulipia vifurushi itabaki constant (20k per month).. Kuna expectation kubwa kuwa itapanda maana demand ya service inaongezeka...hapo faida itakuwa maradufu.

Risk pekee kwa azam ni endapo majanga kama haya ya covid yatatokea (siombei yatokee).

Wengine wataongezea.

Hesabu zako nzuri sana. Na walivyojipanga wameleta na ving'amuzi vya antenna. Wanaendelea kuzoa wateja. Tanzania nzima itafika muda wanaweza kuwa na wateja hai si chini ya mil 2-3.

Mwisho wa siku watapiga parefu sana. Caf tunapeleka team nne. Kama team hizi kubwa zitafanikisha mpango wa mabadiliko huenda tukaendelea kubaki na team nne CAF. Utaona hapo na ushindani wa ligi kuu unazidi kuongezeka.

Miaka kumi ni mingi sana.
Pamoja na hesabu nzuri, kuna haja ya kurekebisha takwimu.
Ving'amuzi.png

Japokuwa takwimu ni za Desemba 2020 bdo kuweka makadirio ya ving'amuzi 1,000,000 ni makisio makubwa sana.
 
Attachments

Back
Top Bottom