Azam TV, mnawadanganya watoto kuwa First day of the week ni Sunday Seriously?

shonkoso

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
687
Reaction score
1,454
Huwa nafuatilia sana kipindi chenu cha watoto shanghai. Leo asubuhi nikamsikia host wa Kipindi akiwaamanisha watoto kuwa Saturday is the last day of the week and Sunday is the first day of the week and Monday being the second.

That's cheating and not teaching.Waombeni radhi watoto wetu.
 
Kila siku ni siku ya kwanza ya wiki kama ndio unaitumia kama starting point hivyo relax hajakosea lolote maana siku ni cyclical
 
Kila dini au kabila au taifa wana kalenda yao.
Ila kalenda ya mzungu ambayo inasema kuwa Jumapili ndio siku ya saba ya wiki na Juma tatu kuwa siku ya kwanza ya wiki is 'the most accurate calendar'.
Kwa hiyo ni vyema sote tufuate kalenda ya mzungu na kuachana na hizo kalenda nyingine zenye mapungufu.
 
Huwa nafuatilia sana kipindi chenu cha watoto shanghai. Leo asubuhi nikamsikia host wa Kipindi akiwaamanisha watoto kuwa Saturday is the last day of the week and Sunday is the first day of the week and Monday being the second.

That's cheating and not teaching.Waombeni radhi watoto wetu.
Nawewe acha utoto wako amekosea watu
Kama tuu kiswahili chako unasema Jumatatu ina maana katika juma la wiki ni siku ya Tatu....tunakubaliana Ijumaa ni siku ya Mwisho katika week?
Mimi ni Roman Catholic ili atujichunguze

Jumanne ni siku ya 4 katika Week sasa kosa lipo wapi hapo
 
How about this one !! 'The Sunday is the first day of the week whereas Monday is the first day of the working week. Internationally' !!
 
Back
Top Bottom