Ni sahihi jumapili kuwa siku ya Kwanza..
Nyuma/jana yake ambayo ni jumamosi ni sabato ambayo ni siku ya saba,kiimani ndy siku ambayo MUNGU alipumzika baada ya kufanya kazi ya uumbaji Kwa siku sita
Pia biblia inaandika Yesu alizikwa siku ya sita jioni(ijumaa) ili wayahudi waiwahi sabato(jumamosi) ambayo kwao hairuhusiwi kufanya kazi yoyote siku hiyo..mwilinww Yesu ukakaa kaburini siku tatu,kuanzia ijumaa jioni,jumamosi kisha jumapili (ambapo biblia imeandika siku ya Kwanza ya Juma) ndiyo akafufuka
Sorry maelezo mengine ya bibblia hayahusiki Ila nimeyatumia ili kuleta taswira ya kile tunachokijadili
Sent from my CPH1923 using
JamiiForums mobile app