sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,280
- 7,930
Endelea na uzungu wako,Kila dini au kabila au taifa wana kalenda yao.
Ila kalenda ya mzungu ambayo inasema kuwa Jumapili ndio siku ya saba ya wiki na Juma tatu kuwa siku ya kwanza ya wiki is 'the most accurate calendar'.
Kwa hiyo ni vyema sote tufuate kalenda ya mzungu na kuachana na hizo kalenda nyingine zenye mapungufu.