Sijui kuhusu Julian kalenda nitakujibu kuhusu waswahili...hapana waswahili hawatumii kalenda ya Julian ila namna tunavyohesabu masiku ni sawa na kalenda ya Julian. Kuhusu leo tarehe ngapi nilikuambia sisi hatuna tarehe ila una siku na leo ni siku 248 y mwaka wa 2022, na leo ni Juma tatu yaani siku ya tatu ya Juma
Kwa hiyo Julian calendar kuna jumatatu 😀😀
Kwa siku ya 248 Kama ulivyosema ndio inaitwaje kulingana na Kalenda ya Kiswahili au Julian Calendar?
Unajua hata maana ya tarehe?
Tarehe lazima iwe na Siku, mwezi na mwaka.
Ukisema siku ya 248 utaulizwa mwezi gani?
Ukishasema Juma unamaanisha Week sijui kama unaelewa?
Ukishasema Week unamaanisha Fungu la siku kadhaa zinaweza kuwa Saba au nane kulingana na Kalenda.
Week ni Robo ya mwezi( yaani siku 28 za mwezi) sijui Kama unaelewa.
Miezi inaunda Msimu (seasonal) kikawaida msimu mmoja unabeba miezi mitatu ambao ni Robo ya mwaka, sijui kama unaelewa. Misimu ndio inaunda Mwaka. Yaani muunganiko wa miezi.
Mwezi na Jua ndivyo vinavyotumika kuratibu Kalenda. Ndio maana kuna Lunar Calendar na solar Calendar, na Solar-Lunar Calendar.
Kitu Kama hujui sema uelezewe