Azam TV, mnawadanganya watoto kuwa First day of the week ni Sunday Seriously?

Sasa sisi wazungu?
 
Kama ni mkristo unapaswa usishereheke pasaka maana unajua fika sikukuu ya pasaka usherehekewa siku ya kwanza ya juma mara baada ya siku ya saba ambayo ni jumamosi.

Kama ni bora kuishi endelea...
 
Wewe mleta mada umeshindwa Hata kufanya utafiti kidogo tu kujua siku ya kwanza ya juma ni ipi? Umeshindwa Hata kuingia google.... Tafuta Hata dictionary utafute utapata jibu au muulize hata Kiongozi wako wa dini.... Sunday is the first day of the week... Mtangazaji yupo sawa kabisa!
 
Kama ni mkristo unapaswa usishereheke pasaka maana unajua fika sikukuu ya pasaka usherehekewa siku ya kwanza ya juma mara baada ya siku ya saba ambayo ni jumamosi.

Kama ni bora kuishi endelea...
Yeah. Kwa kalenda ya Wayahudi.
Ndio maan kuna kalenda ya wachina ambao mwska wao mpya unanza mwezi tofauti na kalenda ya wazungu.
Kwa Dunia ya sasa hizi kalenda nyingine zinatumika ceremonial...
 
Kwani wasabato wenyewe wanasemaje?
 
Elimu yako Mkuu.

Kitu Kama hujui ni Bora uulize Kwanza au ufanye uchunguzi.

Sunday ni siku ya kwanza ya Juma.
Calendar kubwa zote Duniani zinaeleza hivyo
 
Yeah. Kwa kalenda ya Wayahudi.
Ndio maan kuna kalenda ya wachina ambao mwska wao mpya unanza mwezi tofauti na kalenda ya wazungu.
Kwa Dunia ya sasa hizi kalenda nyingine zinatumika ceremonial...
Hujui unazunguka tu, hayo mambo huwezi kuzunguka hivyo sijui ceremonial sijui Israel, all in all jumapili is first day of the week, ipo hivyo mdogo wangu
 
Ni sahihi jumapili kuwa siku ya Kwanza..

Nyuma/jana yake ambayo ni jumamosi ni sabato ambayo ni siku ya saba,kiimani ndy siku ambayo MUNGU alipumzika baada ya kufanya kazi ya uumbaji Kwa siku sita

Pia biblia inaandika Yesu alizikwa siku ya sita jioni(ijumaa) ili wayahudi waiwahi sabato(jumamosi) ambayo kwao hairuhusiwi kufanya kazi yoyote siku hiyo..mwilinww Yesu ukakaa kaburini siku tatu,kuanzia ijumaa jioni,jumamosi kisha jumapili (ambapo biblia imeandika siku ya Kwanza ya Juma) ndiyo akafufuka

Sorry maelezo mengine ya bibblia hayahusiki Ila nimeyatumia ili kuleta taswira ya kile tunachokijadili

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kwa sisi waswahili siku ya kwanza ya juma (week) ni Juma-mosi, maana kwa kiswahili mosi ni moja/kwanza...hizo kalenda za wazungu fuateni ninyi
 
Hujui unazunguka tu, hayo mambo huwezi kuzunguka hivyo sijui ceremonial sijui Israel, all in all jumapili is first day of the week, ipo hivyo mdogo wangu

Mwambie tutumie Calendar ipi au yake?

Kwa Waislam siku zao wanazitamka hivi;

Names of the days of the week

yaum as-sabt يوم السَّبْت (sabbath day)
yaum al-ahad يوم الأحد (first day)
yaum al-ithnayn يوم الإثنين (second day)
yaum ath-thalatha' يوم الثُّلَاثاء (third day)
yaum al-arba`a' يوم الأَرْبعاء (fourth day)
yaum al-khamis يوم الخَمِيس (fifth day)
yaum al-jum`a يوم الجُمْعَة (gathering day
 
Ni sawa kwa mujibu wa imani yako....lakini kwenye biblia iliandikwa tu kuwa Mungu alipumzika siku ya Saba na wala hakusema ilikuwa Jumamosi...
 
Elimika ndugu yangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…