Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Siku ya saba ndiyo sabato ya bwana..Ni sawa kwa mujibu wa imani yako....lakini kwenye biblia iliandikwa tu kuwa Mungu alipumzika siku ya Saba na wala hakusema ilikuwa Jumamosi...
Kwa sisi waswahili siku ya kwanza ya juma (week) ni Juma-mosi, maana kwa kiswahili mosi ni moja/kwanza...hizo kalenda za wazungu fuateni ninyi
Kalenda yetu sis waswahili haina tarehe tuna siku katika juma ambayo leo ni siku ya tatu ya juma na tunaiita Jumatatu!Waswahili hawana Kalenda,
Labda uwe umeibuni wewe.
Kalenda ambayo hata kwenye simu yako au unayotumia wewe ni Gregorian calendar ambayo ni Kalenda ya Wazungu/Warumi.
Nayo inaeleza kuwa Sunday ni siku ya Kwanza
Kalenda ya kiislam nayo inaonyesha Sunday ni siku ya Kwanza.
Sasa hiyo Kalenda unayoitumia wewe sijui ya wapi?
Ili utuambie Leo ni tarehe ngapi, mwezi gani, na mwaka gani?
Hapana siitaji mistari mkuu...ila ninachojua ni kuwa huyo Muhammad hakuwahi kukubali ibada za mayahudi maana aliziona ni za kikafiri...Siku ya saba ndiyo sabato ya bwana..
Biblia imeandika siku ya saba ya Juma ni jumamosi,hata mtume Muhammad alikuta wayahudi wakiabudu siku ya saba pale makka ambayo ni jumamosi
Nikuletee mistari?
Umetoa uchambuzi wa mosi sawa, na juma?Kulingana na maana ya siku kwa lugha ya kiswahili Jumamosi ndio siku ya kwanza ya wiki.
Mosi=Moja
asante ila mimi natumia Julian calendar ambayo haina tarehe ila inahesabu siku zilivyo katika mwaka!Waswahili hawana Kalenda,
Labda uwe umeibuni wewe.
Kalenda ambayo hata kwenye simu yako au unayotumia wewe ni Gregorian calendar ambayo ni Kalenda ya Wazungu/Warumi.
Nayo inaeleza kuwa Sunday ni siku ya Kwanza
Kalenda ya kiislam nayo inaonyesha Sunday ni siku ya Kwanza.
Sasa hiyo Kalenda unayoitumia wewe sijui ya wapi?
Ili utuambie Leo ni tarehe ngapi, mwezi gani, na mwaka gani?
Kalenda yetu sis waswahili haina tarehe tuna siku katika juma ambayo leo ni siku ya tatu ya juma na tunaiita Jumatatu!
Sihitaji kufundishwa chochote mkuu naamini ninachokiamini, usinilazimishe niamini unachoamini kama nilivyokuambia hapo awali kalenda yetu sisi haina tarehe ni kama ile yaJulian, leo sisi waswahili tunasema ni siku ya 248 ya mwaka 2022!Waswahili hawana Kalenda Acha kubisha vitu usivyovijua, Sisi tunatumia Kalenda za watu aidha Kalenda ya kizungu au ya kiislam.
Kama unabisha embu tuambie Kalenda ya Waswahili inamiezi mingapi Kwa mwaka?
Je mwezi unasiku ngapi?
Week inasiku ngapi?
Haya leo ni tarehe ngapi Kwa mujibu wa Kalenda ya Kiswahili?
Mambo mengine unapaswa uombe kufundishwa ili iwe faida hata utakapokaa na watoto wako.
Mkuu
asante ila mimi natumia Julian calendar ambayo haina tarehe ila inahesabu siku zilivyo katika mwaka!
Sijui kuhusu Julian kalenda nitakujibu kuhusu waswahili...hapana waswahili hawatumii kalenda ya Julian ila namna tunavyohesabu masiku ni sawa na kalenda ya Julian. Kuhusu leo tarehe ngapi nilikuambia sisi hatuna tarehe ila una siku na leo ni siku 248 y mwaka wa 2022, na leo ni Juma tatu yaani siku ya tatu ya JumaKwa hiyo Waswahili wanatumia Julian Calendar?
Tuachane na hayo,
Tuambie tupo mwezi gani na Leo ni tarehe ngapi na mwaka gani Kwa mujibu wa Julian Calendar?
Kwa wiki Juliani Kalenda kuna siku ngapi? Na jina la siku ya leo?
Sihitaji kufundishwa chochote mkuu naamini ninachokiamini, usinilazimishe niamini unachoamini kama nilivyokuambia hapo awali kalenda yetu sisi haina tarehe ni kama ile yaJulian, leo sisi waswahili tunasema ni siku ya 248 ya mwaka 2022!
Sijui kuhusu Julian kalenda nitakujibu kuhusu waswahili...hapana waswahili hawatumii kalenda ya Julian ila namna tunavyohesabu masiku ni sawa na kalenda ya Julian. Kuhusu leo tarehe ngapi nilikuambia sisi hatuna tarehe ila una siku na leo ni siku 248 y mwaka wa 2022, na leo ni Juma tatu yaani siku ya tatu ya Juma
Kuna convention nyingi mzee. Tanzania inafuata mifumo miwili kwa wakati mmoja, mfumo wa kwanza ni kama ule wa Saud Arabia, yaani Jumamosi (J1) i.e. Saturday ni siku ya kwanza katika wiki. Wa pili ni kama wa Uingereza yaani Jumapili ni siku ya kwanza. NB: Mosi maana yake moja.Saturday is the last day of the week and Sunday is the first day of the week and Monday being the second.
Sijui kuhusu Julian kalenda nitakujibu kuhusu waswahili...hapana waswahili hawatumii kalenda ya Julian ila namna tunavyohesabu masiku ni sawa na kalenda ya Julian. Kuhusu leo tarehe ngapi nilikuambia sisi hatuna tarehe ila una siku na leo ni siku 248 y mwaka wa 2022, na leo ni Juma tatu yaani siku ya tatu ya Juma
It's according to the international standards and timesKwa Calendar ipi?
Au Kwa Maoni yako, Kama ndivyo sawa
Monday ndio inafahamika internationallyJuma - tatu ,au huoni hiyo tatu?
It's according to the international standards and times
Wewe wacha kushupaza shingo, leo ndio siku ya kwanza, jumapili ya saba tunapumzika