Azam TV, mnawadanganya watoto kuwa First day of the week ni Sunday Seriously?

Endelea na uzungu wako,
 
Hapana siitaji mistari mkuu...ila ninachojua ni kuwa huyo Muhammad hakuwahi kukubali ibada za mayahudi maana aliziona ni za kikafiri...
Mimi siongelei muktadha wa kukubaliana na ibada (za wayahudi) au kukataa kwake (Muhammad),nachoongelea Mimi ni uhalali wa siku ya saba na siku ya Kwanza ya Juma ni ipi ..wakristo huabudu siku ya ufufuo wa bwana(Yesu Kristo ) mathayo 28:1,Marko 16:2, Luke 24:1,Yohana 20:1 na 20:19 ambayo ni sunday au Kwa Kiswahili ni jumapili wakati dhehebu la wasabato huabudu siku ya saba jumamosi,wakati huo huo waislamu huabudu siku ya sita ijumaa... alhamisi (al hamsa) ikiwa na maana ya siku ya tano (hamsa=tano) wakati jumaa ni siku ya sita na jumamosi ni siku ya saba

Kumbuka siongelei uhalali wa siku ya kuabudu,ili tusije kuipa mwelekeo huo wa kidini hii mada
 
waafrika tumelewa na wazungu kupindukia, kila anachosema mzungu tunakikomalia kuwa ndio usahihi, alafu tunalalamika wakitudharau.
 
Shida vijana wa New Age huwa wanalazimisha kika kitu.
 
Kumbe hata wewe ulipotea siku nyingi. Hakika first day of the week ni jumapili, ulidanganywa siku nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…