GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Pumbavu mbwa weweAzam Tv katika Ukurasa wao wanasema Mechi ni Saa 9 Alasiri leo.
Simba SC katika Kurasa zao wanasema Mechi ni Saa 10 Jioni leo.
Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni wamegawanyika wapo wanaosema ni Saa 10 na wengine wakisema ni Saa 9.
Tafadhali mwenye uhakika Kamili wa muda wa Mtanange ( Mechi ) hii ya Simba SC ( TZ ) na Jwaneng Galaxy ( BOT) Leo aniambie tafadhali kwani nipo sasa 'Kilingeni' nairogea Simba SC na kujua muda wa Mechi kuanza ni Muhimu ili 'Majini' yaanze kufanya Kazi.
Livescore naona wameandika saa 10Azam Tv katika Ukurasa wao wanasema Mechi ni Saa 9 Alasiri leo.
Simba SC katika Kurasa zao wanasema Mechi ni Saa 10 Jioni leo.
Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni wamegawanyika wapo wanaosema ni Saa 10 na wengine wakisema ni Saa 9.
Tafadhali mwenye uhakika Kamili wa muda wa Mtanange ( Mechi ) hii ya Simba SC ( TZ ) na Jwaneng Galaxy ( BOT) Leo aniambie tafadhali kwani nipo sasa 'Kilingeni' nikiendelea 'Kuirogea' Simba SC yangu na kujua muda wa Mechi kuanza ni Muhimu ili 'Majini' yaanze kufanya Kazi.
Pumbavu ni Wewe na Mbwa ni Yule aliyekuzaa.Pumbavu mbwa wewe
Nitashindwa sasa 'Kuroga' na Simba SC 'itafungwa' kwani wananichanganya katika Muda Kamili wa Mchezo ( Mechi ) Kuanza.Livescore naona wameandika saa 10
DuuuuPumbavu mbwa wewe
Hata mimi nineshangaa, sijui jamaa kamkosea nini kumporomoshea matusi!Duuuu
Jibu mujarab kabisa hili.Pumbavu ni Wewe na Mbwa ni Yule aliyekuzaa.
Kosa lake nini hadi mitusi yote hii?Pumbavu mbwa wewe
Nimeendelea kuangalia kutoka Azam Tv bado wameandika ( tena kwa Kusisitiza ) kuwa Mechi ni Saa 9 Alasiri hivyo nami sasa 'naroga' kulingana na muda huu huu na ukiwa siyo muda huo uliotajwa na Azam Tv na Simba SC tukafungwa lawama zote ziende Kwao Azam Media.Ni Mimi sielewi Nini kinaendelea
Majibu yangu huwa wanayatafuta wenyewe na watayapata tu kwani Sera yangu haijabadilika ambako ukianza Mimi namaliza kabisa.Jibu mujarab kabisa hili.
We kahaba unaliwa mak.
Nimebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu Mkuu tofauti na Yeye ( Wao ) hivyo ni lazima tu Nyota yangu iwatese hapa JamiiForums na watateseka mno nami mpaka Wafe kwa Hasira zao za Kunichukia.Kosa lake nini hadi mitusi yote hii?
Nimebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu Mkuu tofauti na Yeye ( Wao ) hivyo ni lazima tu Nyota yangu iwatese hapa JamiiForums na watateseka mno nami mpaka Wafe kwa Hasira zao za KunichukiaKosa lake nini hadi mitusi yote hii?
Sidhani Mkuu kwani hata hapo ulipo tu ukiingia Azam Tv wameandika muda ni Saa 9 Alasiri japo Watanzania wengi tumekariri ni Saa 10. Kiukweli Azam Tv na Simba SC kwa hili wanatuchanganya mno.Saa Tisa kwa muda wa Botswana ni sawa na Saa kumi kwa huku Tanzania.