Azam Tv, Simba SC na Watangazaji wa Michezo Redioni mnatuchanganya kuhusu Muda wa Mechi ya Simba SC na Wabotswana leo

Azam Tv, Simba SC na Watangazaji wa Michezo Redioni mnatuchanganya kuhusu Muda wa Mechi ya Simba SC na Wabotswana leo

Kwa tz itakuwa ni 10 kwa bo itakuwa 9
Tafadhali Mkuu hapo ulipo ingia Azam Tv uone kama hawajaandika Saa 9 Alasiri na siyo hiyo Saa 10 yenu. Leo Kazi ipo na tunayo Wallahi.....!!!
 
Azam ndio waliokosea ila tayari wamesharekebisha. Wameweka saa kumi kamili badala ya saa tisa
Asante kwa Taarifa Mkuu japo nimeipata muda huu baada ya Kuingia ( Log In ) JamiiForums huku nikiwa tayari nimeshaitizama hata na Mbungi ( Mechi ) Yenyewe.
 
Back
Top Bottom