Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kama kuna mtanzania kuanzia leo ataendelea kuisema vibaya Azam media, atakuwa na matatizo binafsi!Azam Tv wamezindua chaneli mpya ya Azam Sports 4HD na watarusha La liga ( Ligi Kuu ya Hispania) pamoja na Ligi Kuu ya Italy (Serie A)
Chaneli hiyo itaanza kuruka hewani 1 August 2024.
Tayari Azam Tv anarusha Ligi Kuu ya Tanzania, Ligi Kuu Kenya, Saudia Arabia, Ufaransa, Caf Champions League and Confederation Cup.
Umesema la moyoni ✊️🔥Tunasubiria EPL
Tunataka Euro & American Super League plus Copa AmericaTunataka EPL.
Wameshaipachika kwenye kisimbuzi nikaicheki ama!!?Azam Tv wamezindua chaneli mpya ya Azam Sports 4HD na watarusha La liga ( Ligi Kuu ya Hispania) pamoja na Ligi Kuu ya Italy (Serie A)
Chaneli hiyo itaanza kuruka hewani 1 August 2024.
Tayari Azam Tv anarusha Ligi Kuu ya Tanzania, Ligi Kuu Kenya, Saudia Arabia, Ufaransa, Caf Champions League and Confederation Cup.
Bado ni promo kwanzaWameshaipachika kwenye kisimbuzi nikaicheki ama!!?
Nanye ninkuung'mukono.Warushe EPL kaburu akalime matikiti kwao.
Azam wasingekuwa wanaonesha mechi za Ligi kuu ya Tanganyika, aisee ningewakimbia. Kuna wakati huwa ninafikiri hata ile 25 ninayowalipa kila mwezi, wananiibia tu.