Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Wanaiba kwa mtu ambaye hafatilii yale ma tamthiliya.
Nimejaribu kuiangalia hiyo Karma na Golden boy hata sielewi. Shunie Saint Anne
Basi nakesha cheka plus tu.
Mimi naangalia sana Azam One ile channell ina series na Movie kali, ila sijui kwanini watu wengi wanapenda Azam Two ila kiuhalisia anaesimamia Azam One anaweza vitu vizuri sana. Alafu series za Azam One sio ndefu kama zile za Azam Two watu wanaangalia mwaka mzima kitu kimoja.