Azam Tv wazindua chaneli mpya Azam Sports 4HD, watarusha La liga pamoja na Serie A

Azam Tv wazindua chaneli mpya Azam Sports 4HD, watarusha La liga pamoja na Serie A

Yani DSTV apewe kibali arushe LIGI KUU azam kwisha habari yake.

Dstv itabaki kuwa Dstv lolote linaweza kutokea, AZAM kwa DSTV bado sanaa Picha HD ya DSTV unaona raha hata kuangalia Marudio ya kipindi ila sio AZAM.
 
😁😁 Azam one at least movie kali ndio natulia hapo, pakinishinda naenda kucheka na cheka plus.

League ikianza itakuwa poa.
wacha sahii nibaki na Jua kali na Mpali😁

Mimi nayetumia vyote maua nawapa Dstv 💥
Dstv Zaid ya EPL na UCL hakuna kitu,labda ulipie kifurushi Cha juu zaidi ambacho ni laki na ushee,bila hivyo uangalie mkamata nyoka south Africa,banged up abroad baasi,jua Kali si Bora niangalie waturuki,watu wananenepa wanakonda humohumo,havieleweki
 
😁😁 Azam one at least movie kali ndio natulia hapo, pakinishinda naenda kucheka na cheka plus.

League ikianza itakuwa poa.
wacha sahii nibaki na Jua kali na Mpali😁

Mimi nayetumia vyote maua nawapa Dstv 💥
Dstv Mimi naipendea mpira tu
Hayo sijui majuakali naona ujinga tu kama Isidingo
Mchezo gani hauishi?

Azam Tv sasahivi wamejitahidi kuleta tamthilia nzuri za kibongo.

Azam one hata kwa bahati mbaya sijawahi kuangalia.
 
Dstv Zaid ya EPL na UCL hakuna kitu,labda ulipie kifurushi Cha juu zaidi ambacho ni laki na ushee,bila hivyo uangalie mkamata nyoka south Africa,banged up abroad baasi,jua Kali si Bora niangalie waturuki,watu wananenepa wanakonda humohumo,havieleweki
Sasa kila mtu na flavor yake. Hao waturuki mimi sielewi.

Wale wananenepa na kukonda mixer kunyoa vipara sbb ya content ya wanachoigiza.
 
Back
Top Bottom