Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Huwezi kununua viatu kama huna miguu.Unaweza ukawa na vifaa vizuri ila ukashindwa kulipia supporting bills,
Mfano Ili urushe hayo matangazo transponder Moja kukodi Kwa wamiliki wa satellite yenye uwezo wa kurusha matangazo Kwa njia ya full hd, 4k gharama yake inaweza kuzidi gharama ya vifaa vyako na studio Kwa ujumla, hivyo wengi hawashindwi kwenye vifaa vya ardhini ila Kuna mabwenyenye yenye satellite zao ndio mtihani
Frequency yenye kubeba vichannel 3 kwa kiwango Cha SD(mpeg 2) ni zaidi ya 150 million kwa mwaka
Azam hawezi pata nafasi kuonyesha EPL. Kumbuka purchasing power ya Afrika Mashariki ni ndogo Azam ina watazamaji wengi ila njaa kali ukiweka fee kubwa wanazima TV. Sasa uwekezaji utarudi vipi kwa kulipia mabilioni EPL wakati subscribers wake wachache. Ndio hapo tunadai DSTV wana bei, Azam ili warudishe gharama itabidi wawe na bei sana kuizidi mbali DSTV sababu wana wateja wachache.DSTV najua ni kampuni kubwa afrika sijalinganisha DSTV na Azam,bali nimesema kama azam angeonyesha EpL kwa Tanzania angepata watazamaji wengi kuliko DSTV maana wengi wetu azam ni rafiki zaidi kuliko hiyo DSTV.....Hizo Kamera kwa Tanzania sio jambo dogo mkuu.
Miaka ya nyuma wale G sport kibali walikiiba au walipewa kuonyesha EpL ?
Eeh wacha wee!Hata wanunue mitambo ya namna gani. Siwezi kuangalia media zao. Infact siwezi kuangalia media yoyote ya Tanzania iwe Radio au TV wote ni uchafu tu.. Acha niendelee na ABC news, CNN,BBC, FOX , NSBC, DW tv, RT, France 24.
Pamoja sana masta.Azam hawezi pata nafasi kuonyesha EPL. Kumbuka purchasing power ya Afrika Mashariki ni ndogo Azam ina watazamaji wengi ila njaa kali ukiweka fee kubwa wanazima TV. Sasa uwekezaji utarudi vipi kwa kulipia mabilioni EPL wakati subscribers wake wachache. Ndio hapo tunadai DSTV wana bei, Azam ili warudishe gharama itabidi wawe na bei sana kuizidi mbali DSTV sababu wana wateja wachache.
Na Azam tatizo lake ni kutumia Kiswahili kama main language.
Kiswahili hakikwamishi wabongo tu kwenye soko la ajira nje, hata wawekezaji wa kibongo wanapata changamoto kidogo. Unaanza na domestic market ni Waswahili unaenda nje kujitanua inabidi sasa uanze kuwa na contents zotezote. Na unapata ugumu kuingia.
Ila kwa investment Azam inaenda vizuri. Dstv inashuka kila mwaka labda iuzwe
Multichoice ni kampuni kubwa. Tanzania hatujawa na level ya kuwa na kampuni too demanding kwenye uboreshaji. Dstv wanateseka sababu hawakuwekeza kwenye online streaming kama Netflix. Ukitazama gharama za kuwekeza uko ni tatizo, sasa sisi hapa wazee wa Channel 10 na ITV iko vilevile tangu niko darasa la kwanza hatuwezi furukuta sana kimataifa.Watz wengi ni vichwa maji wao wakiona juisi nyingi wanajua thamani ndo hiyo.
Kwa ufupi Multichoice ina thamani kuliko kampuni zote za ssb
Samahani bro, Quadrillion naomba uiandike kwa tarakimu. π€Kwa hio na Wewe trillion 4 ndio ukaona Hela kuuubwa au sio? Mi nikajua utasema Quadrillion huko unasema trillion?
Huyo VAR mwenyewe ndio ulaji hapo watapiga pesa tu utapigwa mstari hapo zigzag OFFSIDEVAR wameleta? Ili lutokomeza tabia ya club ya Yanga kuhonga marefa?
Trillion pesa ndogo? serikali tu wakijitahidi sana kwa mabavu mwezi wanakusanya Trillion 2 ndio tuishi.Samahani bro, Quadrillion naomba uiandike kwa tarakimu. π€
Azam sports 1Anazo 5 /sView attachment 3043063
Naskia ipo kwenye mchakatoNAsikia wameongeza Azam sports 4 HD?.
Una safari ndefu sana kuelekea kwenye mafanikioHakuna Kamera ya millioni 500 !
Ww uliwahi kuona wap hy tuzo ya super brand ikitolewa Kwa ITV?Vifaa vya mabilioni bila kupata tuzo ya super brand kama wale wa mzee mengi Ni hasara tu.
Ni sawa na pisi kali isiyo na akili/mgumba.
Hapa bongo Azam anaingiza pesa nyingi kuliko huyo dstvHivi kwa wastani azam anawateja kiasi gani hapa bongo ambao hao wanalipa 25k kwa mwezi, kama wakiwa na wateja milioni 1,. Zidisha na elfu 25, anagonga kiasi gani kwa mwezi, je kwa mwaka? Bakhresa mpaka anafanya haya kaishaona biashara inamlipa SAAAANA.
Magoli kuyaona vzr mtayaona kwenye mechi zinazofanyika chamazi na taifa. Labla kdg na ule uwanja wa kmc ila huko mikoani usitegemee kabisaAlaa basi vyema ili waone magoli ya mchongo vyema!
Ngoja chawa waje waseme mama amefungua nchiDuh,hivi watu hela mnazitoa wapi? Mbona hatupeani ramani my zangu. Yan gari zishafika hadi EGU mi sijui. ππ maana niliishiaga kwenye DTP, nikasikia hamna hela, maisha magumu, basi nikaacha kufuatilia, sa anashangaa hiyo gari namba yake π₯π₯π. Daaaah, ngoja niamke aisee.
Sio kama haweziNdio maana nasema Azam hawezi. Si ni biashara, sasa mfanyabiashara gani anafanya investment kujifurahisha na kutafuta sifa.
Na Azam yuko likely kunyimwa hakimiliki endapo ataweka dau mezani kwa hao kina La Liga, UEFA na EPL. Yaani waache DSTV mwenye viewers wengi zaidi in Southern Sahara waje kwa mbongo mwenye subscribers wachache hasa Swahili speakers. StarTimes ikiamua iko more likely kuipa challenge DSTV kwenye hizo anga kuliko Azam. Na Canal+ ndio hiyo imeteka soko la French speakers inataka soko la Arica nzima.
We jamaa mjuaji sanaNitajie mpiga picha mmoja unayemjua hapo azam