Azam TV wazindua mitambo mipya ikiwemo VAR, kamera moja tu imegharimu Tsh. Milioni 500

Kampuni ukishakuwa na staff mnaoaminiana kama ndugu, ni rahisi kuendelea. Ukimsikisikiliza Abubakar Bakhresa anasema, wao Azam kila mkuu wa kitengo ndiyo anaandaa mpango wa kujitanua, wao wanampa bajeti tu akamilishe.
 
Kampuni ukishakuwa na staff mnaoaminiana kama ndugu,ni rahisi kuendelea.Ukimsikisikiliza Abubakar Bakhresa anasema ,wao Azam kila mkuu wa kitengo ndiyo anaandaa mpango wa kujitanua ,wao wanampa bajeti tu akamilishe
Ni kweli mkuu umeongea ukweli mtupu tupo pamoja sana huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…