Azam wanatumia njia gani kuajiri wafanyakazi?

Fika na baibui au kanzu makao makuu huwezi kosa kazi
 
Mara nyingi wanachukua wanafunzi ambao wamewahi kufanya field kwao kuna jamaa alifanya field pale AZAM alipomaliza akapata mchongo akaitwa kazini yupo mpaka leo sio yeye tu wapo wengi.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Ila wabongo tukikosa kazi mahali huwa tunakua na visingizio vingi sana.

Tukianza na huyo azam mbona nawajua watu wengi tu ambao hata sio waislamu wako kwenye idara nyeti tu hapo azam.

Huko kwa MO haipiti week hujaona tangazo lao la kazi, tena mo ana mpaka recruitment portal yake kabisa.
Tuache kuchafua watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…