Itakuwa ni kweli Nimesikia kwenye Sports Court wakiitangaza kama breaking news ( habari ya papo kwa papo).Hii taarifa ina usahihi na uhakika upi? Mbona kwenye vituo vyao rasmi sijaona hii taarifa?
Anyway tungoje.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],au "halipwi",nimeipenda hii.bado coastal union yule mgunda hata afungwe 20 haondolewi au cjui halipwi
Mazuri yanakuja, Said Ntibazontoka atasaidia sana katika ufungaji.Hiyo ndo silaha yao tu.
Wanapiga pasi mbili wapo golini
Ila huyo kocha waliyempata anajua sana
Sikutegemea Wangebadilika ivi
Azam wacha watimue kocha hamna namna
Mechi za CUF Simba hukalia fasta fasta utamwona amerudi kwenye ligi ya ndani. Plateau wanampiga kote kote.Mnyama akili ipo CAF atadharau mechi za home ivo matokeo yatakuwa magum sana
Siyo kwamba hawakuwa wanataka kushambulia bali "wakata Umeme " walikuwa full.Jana azam alizingua hata mashambulizi ya hatari hamna
Clean sheets ndio wins u titles. Clean sheet ina thamani zaidi kuliko goliKabisa mkuu,na ikitokea timu pinzani imekaza basi matokeo 0-0, na beki ikitokea imeteleza na kuruhusu goli basi matokeo 1-1.nimeipenda hii hali.
Hivi yanga imefungwa magoli mangapi?Kabisa mkuu,na ikitokea timu pinzani imekaza basi matokeo 0-0, na beki ikitokea imeteleza na kuruhusu goli basi matokeo 1-1.nimeipenda hii hali.
Utopolo kafungwa 4 simba kafungwa 5 ila beki za utopolo zitapata sana majeruhi kutokana na kujituma sana ili kulinda kagoli kamoja.Utopolo bao lao moja tuu. Beki inakaza vibaya.mnyama chupuchupu akalie...
Kwamba 1-0, 1-0, 2-0 ni bora kuliko 4-1, 3-1, 5-2?Clean sheets ndio wins u titles. Clean sheet ina thamani zaidi kuliko goli
Aisee sijui kwankiswahili nisemeje but ni hivi utafiti unaonyesha kuwa marginal point value ya clean sheet is greater than that of a goal.Kwamba 1-0, 1-0, 2-0 ni bora kuliko 4-1, 3-1, 5-2?
Kwenye uwiano wa magoli hilo kundi la pili litaongoza,ila kwa mimi binafsi napenda matokeo ya kundi la kwanza.kundi la kwanza kipoteza mechi huwa ngumu sana,akizidiwa basi huwa sare.kundi la pili kupoteza ni rahisi sana,aina ya hayo matokeo ni kama yanga na simba wanavyopata matokeo.rejea mechi yao iliyopita,simba alielekea kufungwa 1-0 kabla hawajachomoa.kutoruhusu goli kunaleta morali ya timu na kufanya mjiamini sana.Kwamba 1-0, 1-0, 2-0 ni bora kuliko 4-1, 3-1, 5-2?
[emoji23][emoji23][emoji23]Ila utopolo wana beki matata sana
[emoji38]
Mfano hai kabisa huu tatizo kubwa la Azam hawana kamati ya fitina.....Azam Ni mtoto wa Tajiri mwenye pesa zake anajitahidi kumbadilishia mtoto wake shule za gharama kubwa lakini mtoto kichwani Ni empty yaani sifuri
Azam hawajaenda polisi?!?Ni baada ya timu kucheza chini ya kiwango.
Baada ya uwekezaji wa GSM kwa refa au? Bangi banaUtopolo bao lao moja tuu. Beki inakaza vibaya.mnyama chupuchupu akalie...