Azam yamfuta kazi kocha wake

Azam yamfuta kazi kocha wake

Kwamba 1-0, 1-0, 2-0 ni bora kuliko 4-1, 3-1, 5-2?
Aisee sijui kwankiswahili nisemeje but ni hivi utafiti unaonyesha kuwa marginal point value ya clean sheet is greater than that of a goal.

Pia inaonyesha kuwa timu zinazoshinda ubingwa mara nyingi wanakuwa na strong defences.

Hizo scoreline ulizotaja niza timu kama atalanta ya italia ..very entertaining team to watch but wont win the league maana wakicheza na ac milan ...title deciding games they will lose.

Tena kama nakumbuka vizuri mourinho msimu wake wa kwanza chelsea alishinda ligi ambapo mechi 16 ziliisha 1-0. Seri A last ten scudettos timu yenye best defence nsdio imeshinda ligi mara nane au tisa.
 
Kwamba 1-0, 1-0, 2-0 ni bora kuliko 4-1, 3-1, 5-2?
Kwenye uwiano wa magoli hilo kundi la pili litaongoza,ila kwa mimi binafsi napenda matokeo ya kundi la kwanza.kundi la kwanza kipoteza mechi huwa ngumu sana,akizidiwa basi huwa sare.kundi la pili kupoteza ni rahisi sana,aina ya hayo matokeo ni kama yanga na simba wanavyopata matokeo.rejea mechi yao iliyopita,simba alielekea kufungwa 1-0 kabla hawajachomoa.kutoruhusu goli kunaleta morali ya timu na kufanya mjiamini sana.
 
Azam Ni mtoto wa Tajiri mwenye pesa zake anajitahidi kumbadilishia mtoto wake shule za gharama kubwa lakini mtoto kichwani Ni empty yaani sifuri
Mfano hai kabisa huu tatizo kubwa la Azam hawana kamati ya fitina.....
 
Back
Top Bottom