AzamTv wametudanganya kuhusu kuonesha michuano ya Euro

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
AzamTv walitangaza kwa mbwembwe watarusha michuano ya Uefa Euro. Cha kushangaza jana hamna mechi waliyoonyesha.

Na leo mpaka sasa hakuna mechi wameonyesha. Nawauliza nyie Azam Tv utapeli mtaacha lini?

Au Euro ishaisha??

Anyway, imebidi nilipie DStv tu
 
AzamTv walitabgaza kwa mbwembwe watarusha michuano ya Uefa Euro.

Cha kushangaza jana hamna mechi waliyoonyesha.

Na leo mpk sasa hakuna mechi wameonyesha.

Nawauliza nyie Azam Tv utapeli mtaacha lini?

Au Euro ishaisha??

Anyway, imebidi nilipie DStv tu
Mkuu Hamia DSTV tena kwa gharama nafuu kabisa ya Tsh elfu Kumi tuu unatazama mechi zote 54 LIVE HD
 
AzamTv walitabgaza kwa mbwembwe watarusha michuano ya Uefa Euro.

Cha kushangaza jana hamna mechi waliyoonyesha.

Na leo mpk sasa hakuna mechi wameonyesha.

Nawauliza nyie Azam Tv utapeli mtaacha lini?

Au Euro ishaisha??

Anyway, imebidi nilipie DStv tu
Mkuu Hamia DSTV tena kwa gharama nafuu kabisa ya Tsh elfu Kumi tuu unatazama mechi zote 54 LIVE HD kwa
Ngoja waje wale wafia Azam na msemo wao “Azam Tv akipata tu haki ya kurusha EPL bai bai Dstv”🤣

Sasa Azam kama Euro anashindwa kuonesha hiyo EPL sijui itakuaje?
DSTV leseni ni Dola mil 600 kwa msimu...yale ni maji marefu mkuu....watu hawajiulizi kwanini Middle East yote na Pesa yao ya mafuta ni BEIN sports pekee ndiyo wanaonesha Premier League na UEFA champions league....
 
Hivi kwanini dstv hawaruhusiwi kuonesha ligi ya bongo, maana kila nikiuliza hili swali napewa jibu la kusikitisha sana, kuna sababu yoyote ya msingi inayofanya dstv wakwame kwenye hilo mkuu
 
Mwaka ambao Azam aliomba tena haki ya kurusha ligi pia DStv alikuwepo, ila tatizo la DStv n alitaka kurusha mechi kubwa tuu za simba na Yanga tuu hapo ndipo kosa lake lilipo wakati mwenzake Azam anarusha hadi mechi za kajamba nani
 
Mkuu Hamia DSTV tena kwa gharama nafuu kabisa ya Tsh elfu Kumi tuu unatazama mechi zote 54 LIVE HD kwa

DSTV leseni ni Dola mil 600 kwa msimu...yale ni maji marefu mkuu....watu hawajiulizi kwanini Middle East yote na Pesa yao ya mafuta ni BEIN sports pekee ndiyo wanaonesha Premier League na UEFA champions league....
Ni gani kati ya hizo hapo mkuu
Screenshot_20240616-191925_Google Play Store.jpg
 
Mwaka ambao Azam aliomba tena haki ya kurusha ligi pia DStv alikuwepo, ila tatizo la DStv n alitaka kurusha mechi kubwa tuu za simba na Yanga tuu hapo ndipo kosa lake lilipo wakati mwenzake Azam anarusha hadi mechi za kajamba nani
Ni vyema Azam akaendelea kuonesha ligi yetu ya NBC,, unaipata HD,,

Dstv hatar ligi ya South Africa hawaitendei haki ,, lakin EPL si wanajiunga na Sky sport ndio tunapata HD murua
 
Back
Top Bottom