Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mkuu Hamia DSTV tena kwa gharama nafuu kabisa ya Tsh elfu Kumi tuu unatazama mechi zote 54 LIVE HDAzamTv walitabgaza kwa mbwembwe watarusha michuano ya Uefa Euro.
Cha kushangaza jana hamna mechi waliyoonyesha.
Na leo mpk sasa hakuna mechi wameonyesha.
Nawauliza nyie Azam Tv utapeli mtaacha lini?
Au Euro ishaisha??
Anyway, imebidi nilipie DStv tu
Mkuu Hamia DSTV tena kwa gharama nafuu kabisa ya Tsh elfu Kumi tuu unatazama mechi zote 54 LIVE HD kwaAzamTv walitabgaza kwa mbwembwe watarusha michuano ya Uefa Euro.
Cha kushangaza jana hamna mechi waliyoonyesha.
Na leo mpk sasa hakuna mechi wameonyesha.
Nawauliza nyie Azam Tv utapeli mtaacha lini?
Au Euro ishaisha??
Anyway, imebidi nilipie DStv tu
DSTV leseni ni Dola mil 600 kwa msimu...yale ni maji marefu mkuu....watu hawajiulizi kwanini Middle East yote na Pesa yao ya mafuta ni BEIN sports pekee ndiyo wanaonesha Premier League na UEFA champions league....Ngoja waje wale wafia Azam na msemo wao “Azam Tv akipata tu haki ya kurusha EPL bai bai Dstv”🤣
Sasa Azam kama Euro anashindwa kuonesha hiyo EPL sijui itakuaje?
Duh sasa EPL c itafika 5B $DSTV leseni ni Dola mil 600 kwa msimu...yale ni maji marefu mkuu....watu hawajiulizi kwanini Middle East yote na Pesa yao ya mafuta ni BEIN sports pekee ndiyo wanaonesha Premier League na UEFA champions league....
Safari hii Canal sports Lazima kivyovyote vile!Ngoja waje wale wafia Azam na msemo wao “Azam Tv akipata tu haki ya kurusha EPL bai bai Dstv”🤣
Sasa Azam kama Euro anashindwa kuonesha hiyo EPL sijui itakuaje?
Duuh kumbe dstv kifurushi cha elfu kumi tu, mnaangalia mechi za ulaya na hamsemi, ni channel gani hiyoAzam hamna kitu karibu dstv kifurushi cha ten tu mechi zote
Dah! Pole SanaHao kitimoto sitak hata kuwasikia nimemtimua demu wangu kisa euro afu hawaonyeshi
Hivi kwanini dstv hawaruhusiwi kuonesha ligi ya bongo, maana kila nikiuliza hili swali napewa jibu la kusikitisha sana, kuna sababu yoyote ya msingi inayofanya dstv wakwame kwenye hilo mkuuNgoja waje wale wafia Azam na msemo wao “Azam Tv akipata tu haki ya kurusha EPL bai bai Dstv”🤣
Sasa Azam kama Euro anashindwa kuonesha hiyo EPL sijui itakuaje?
Mwaka ambao Azam aliomba tena haki ya kurusha ligi pia DStv alikuwepo, ila tatizo la DStv n alitaka kurusha mechi kubwa tuu za simba na Yanga tuu hapo ndipo kosa lake lilipo wakati mwenzake Azam anarusha hadi mechi za kajamba naniHivi kwanini dstv hawaruhusiwi kuonesha ligi ya bongo, maana kila nikiuliza hili swali napewa jibu la kusikitisha sana, kuna sababu yoyote ya msingi inayofanya dstv wakwame kwenye hilo mkuu
Ni gani kati ya hizo hapo mkuuMkuu Hamia DSTV tena kwa gharama nafuu kabisa ya Tsh elfu Kumi tuu unatazama mechi zote 54 LIVE HD kwa
DSTV leseni ni Dola mil 600 kwa msimu...yale ni maji marefu mkuu....watu hawajiulizi kwanini Middle East yote na Pesa yao ya mafuta ni BEIN sports pekee ndiyo wanaonesha Premier League na UEFA champions league....
Ni vyema Azam akaendelea kuonesha ligi yetu ya NBC,, unaipata HD,,Mwaka ambao Azam aliomba tena haki ya kurusha ligi pia DStv alikuwepo, ila tatizo la DStv n alitaka kurusha mechi kubwa tuu za simba na Yanga tuu hapo ndipo kosa lake lilipo wakati mwenzake Azam anarusha hadi mechi za kajamba nani