AzamTv wametudanganya kuhusu kuonesha michuano ya Euro

Mh mkuu, em tufanye ww ndio unatoa kibali.

Anakuja Azam anatoa 50B anaonyesha mechi zote.
Anakuja dstv anatoa 50B anaonyesha mechi za Simba na Yanga tuu.

Wewe utampa kibali nani?
Oohh nilikuwa sijaelewa, kumbe kibali lazima apewe mmoja tu, haiwezekani kupewa wote wawili
 
Mbona Mimi nangalia hapa kupitia Zbc2 Live Serbia na England
 
Sasa mbona nina kufurushi cha zaidi ya elfu kumi, ila kwenye hiyo channel huwa sioni hizo mechi live, bali zinaoneshwa kama marudio tu
Mkuu sasa naangalia live mechi ya England na Serbia, pia mechi ya Poland na Netherlands nimeingalia live jioni.
 
Mtoa mada sikia hii.
1. Dstv ni mpira
2. Azam ni maigizo ya kitanzania
3. Startimes wahindi wengi sana
Umesahau dstv ni mpira na movies za wazungu, by the way kwenye kila kisimbuzi kuna vyote hivyo, ni wewe tu kujua channels husika
 
Oohh nilikuwa sijaelewa, kumbe kibali lazima apewe mmoja tu, haiwezekani kupewa wote wawili
Hapa bongo Sijajua utaratibu wao, ila England kwenye EPL Kuna makampuni kama matano hv ndio wanafanya production.
 
Dstv kifurushi cha elfu 25000 tu unaenjoy
 
Mechi moja ya saa 4 wameonesha sasa hata ratiba yao haieleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…