Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Nani kakudanganya? Nipe nchi walau moja inakoonyeshwa kupita FTASijui ni kwanini sehemu nyingine wamewapa rights TV za kulipia kama DSTV. Europe haya mashindano yanaonyeshwa kwenye TV za bure kama kombe la dunia linavyoonyeshwa. Taznania hii michuano ilitakiwa kuonyeshwa na TV ya Taifa.
Kwanini wamedanganyaSio mara ya kwanza kufanya hivi. Kiwanda kikishakuwa na waswahili wengi ni shida sana
Basi mkuu nimetubuVp unaangalia hii mechi ya Uturuki hapo ZBC2
Mkuu, nimeuziwa hiyo dekoda na jamaa iliyosajiliwa DRC, siwezi lipia airtime nikiwa BONGO mpaka nimtumie jamaa aliyopo kule DRC....Nipe maujanja nafanyaje.Safari hii Canal sports Lazima kivyovyote vile!