Azerbaijan ni taifa pekee la Kiislam rafiki na Israel

Reuben's Sin with Bilhah. Laws regarding Incest. Jacob's Children (xxxiii. 1-23; Cf. Gen. xxxv. 21-27).
XXXIII. And Jacob went and dwelt to the south of Magdalâdrâ’êf. 4And he went to his father Isaac, he and Leah his wife, on the new moon of the tenth month. 2. And Reuben saw Bilhah, Rachel's maid, the concubine of his father, bathing in water in a
p. 167
secret place, and he loved her. 3. And he hid himself at night, and he entered the house of Bilhah [at night], and he found her sleeping alone on a bed in her house. 4. And he lay with her, and she awoke and saw, and behold Reuben was lying with her in the bed, and she uncovered the border of her covering and seized him, and cried out, and discovered that it was Reuben. 5. And she was ashamed because of him, and released her hand from him, and he fled. 6. And she lamented because of this thing exceedingly, and did not tell it to any one. 7. And when Jacob returned and sought her, she said unto him: "I am not clean for thee, for I have been defiled as regards thee; for Reuben hath defiled me, and hath lain with me in the night, and I was asleep, and did not discover until he uncovered my skirt and slept with me." 8. And Jacob was exceedingly wroth with Reuben because he had lain with Bilhah, because he had uncovered his father's skirt. 19. And Jacob did not approach her again because Reuben had defiled her. And as for any man who uncovereth his father's skirt his deed is wicked exceedingly, for he is abominable before the Lord. 10. For this reason it is written and ordained on the heavenly tables that a man should not lie with his father's wife, and should not uncover his father's skirt, for this is unclean: they shall surely die together, 2the man who lieth with his father's wife and the woman also, for they have wrought uncleanness on the earth. 11. And there shall be nothing unclean before our God in the nation which He hath chosen for Himself as a possession. 12. And again, it is written a second time: "Cursed he be who lieth with the wife of his father, for he hath uncovered his father's shame"; and all the holy ones of the Lord said "So be it; so be it." 313. And do thou, Moses, command the children of Israel that they observe this word; for it (entaileth) a punishment of death; and it is unclean, and there is no atonement
 
isaka hakuwa myahudi,
technically hata yakobo hakuwa myahudi,neno yahudi asili yake na juda,judea.
Yule mtoto wa yakobo kama sikosei.
Isaka na yakobo ni wairaq wa asyria

unajua ulichokiandika hapo?
 
Kwa muujibu wa quran. By the way aya nyingi kwenye quran ni plagiarism from a bibble ilo pindishwa so sishangai unayo ongea mkuu
 
Kwa muujibu wa quran. By the way aya nyingi kwenye quran ni plagiarism from a bibble ilo pindishwa so sishangai unayo ongea mkuu
nishaelewa tatizo lako,lugha haipandi,pole sana,mwambie mzito kabwela akutafsirie hiyo aya ya kitabu cha mwanzo,mimi huo mda sina kwakweli
 
Yamungu tumuachie mungu hakuna ajuae nini kitakacho tokea baada ya kufa.
 
Kuna upotoshaji mkubwa kwenye hii post kama hujui kitu ni heri unyamaze. Ufalme wa Yuda uliundwa na kabila la Yuda na Benjamin na wala sio Efraim. Post yako ina makosa mengi sana na hili ni mojawapo
 
Kuna upotoshaji mkubwa kwenye hii post kama hujui kitu ni heri unyamaze. Ufalme wa Yuda uliundwa na kabila la Yuda na Benjamin na wala sio Efraim. Post yako ina makosa mengi sana na hili ni mojawapo
hamna upotoshaji mkuu,ni juda,benjamini na ephrahim,sikutaja benjamini kwani jina lilikuwa limenitoka na sikutaka kupachika jina la tatu bila kuwa na uhakika,yalikuwa makabila matatu,sikumbuki vizuri ephraim aliingia vipi hapo yakawa matatu badala ya makabila mawili,kule israel yalibaki makabila kumi,inatakiwa yawe makabila 12 jumla,ila yapo maelezo kuhusu kabila la ephrahim,naweza kuyatafuta na kuweka hapa
 
Usichojua ni kuwa vita ya waazer na armenia ni ya kidini Christian Armenia vs Shia Islam Azerbaijan. Kwenye hii vita Israel hana interest yoyote hata kama huwa anamsaidia Azer kijesh. Maana Armenia nao wanasaidiwa na Russia na russia ana battalion kabisa kaiweka Armenia. So kwa muisrael hiyo vita kwake anakuwa neutral kabisa tena labda angependa Azer ashindwe maana hawezi kubali kumwuzi russia.
 
Haya. Yesu mnaye mwita isa alikua myahudi. Mbona mnamwamini
 
Bado unapotosha. Ephraim haikuunda ufalme wa Yuda. Yuda iliundwa na makabila mawili tu Yuda yenyewe ambayo leo sehemu kubwa ipo west bank na vilima vya yudea na Benyamin ambayo ni eneo lote la yerusalem na kando kando yake
 
Uongo mwingine na upotoshaji. Mods mchukulieni hatua huyi mtu. Yakobo hakuwaoa hao wajakazi wa wake zake ila yalikuwepo mashindano ya kutaka kupata watoto wengi baina hao wake zake yaani Rahel na Leah. Hao wake zake kwa hiari zao wenyewe wakawa wanawambia hao wajakazi wao walale na mzee Yakobo wawazalie wana. Na ndiyo maana hata watoto waliozaliwa na hao wajakazi walihesabiwa na wa mabosi wao yaani wake wale wa Yakobo na hakuna mtoto hata mmoja ambaye alihesabika ni wa mjakazi. Acha upotoshaji.
 
Bado unapotosha. Ephraim haikuunda ufalme wa Yuda. Yuda iliundwa na makabila mawili tu Yuda yenyewe ambayo leo sehemu kubwa ipo west bank na vilima vya yudea na Benyamin ambayo ni eneo lote la yerusalem na kando kando yake
ok,nishaiona ephrahimu alikuwa israel kingdom,kabila la tatu nalolisema ni kabila la Levi,
hawa ni kama hawamo katika hesabu kwani ndo walikuwa kama wanahudumu katika mahali pa kuabudia,najaribu kuitafuta hiyo infor nikiipata ntaiweka
 
Inaonekana hujui unachoongea. Lawi hakupewa urithi. Koran yako imekushinda unataka kujifanya mwalimu wa Bible.
 
Bado unapotosha. Ephraim haikuunda ufalme wa Yuda. Yuda iliundwa na makabila mawili tu Yuda yenyewe ambayo leo sehemu kubwa ipo west bank na vilima vya yudea na Benyamin ambayo ni eneo lote la yerusalem na kando kando yake
ok,nishaiona ephrahimu alikuwa israel kingdom,kabila la tatu nalolisema ni kabila la Levi,
hawa ni kama hawamo katika hesabu kwani ndo walikuwa kama wanahudumu katika mahali pa kuabudia,najaribu kuitafuta hiyo infor nikiipata ntaiweka ha ha ha,usipanick bana,sasa kwani jacob hakuwazalisha hao housegali?.
Walikuwa kama wake zake,au tuseme nyumba ndogo,ndo maana mtoto wake alipolala na mmoja mzee jacob alipanick na kuacha kulala na huyo housegali tena
 
Kama upo akilini kwangu,hawa watu wanaojifanya wanazijua dini hizi za kuletewa huwa wananikera saana.Kama MUNGU YUPO SIAMINI KAMA NDIYE ALIYEANDAA HIZI DINI NI SISI BINADAMU TUMEAMUA KUFANYA MAMBO YAWE MAGUMU.SIAMINI KAMA KUNA MKONO WA MUNGU KWENYE VITABU VYOTE VIKUU VIWILI.NDIO MAANA TUNAPATA TABU KILA SIKU KUUANA BILA SABABU.
 
Vita ya azerbainjain na armenia sio vita ya kidini hata sikumoja,inahusu waasi waliojitenga toka azerbanjain na kujitangazia jamhuru yao ya nagono kabarakh
 
Acha fix labda una bible yako Yakobo alipata wale mifugo kihalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…