Azerbaijan ni taifa pekee la Kiislam rafiki na Israel

The 12 Tribes Of Israel?
1. Reuben, Son of Leah
2. Simeon, Son of Leah
3. Levi, Son of Leah
4. Judah, Son of Leah - lineage of Jesus Christ.
5. Dan, Son of Bilhah
6. Naphtali, Son of Bilhah
7. Gad, Son of Zilpah
8. Asher, Son of Zilpah
9. Issachar, Son of Leah
10. Zebulon, Son of Leah
Joseph, Son of Rachel - there is no tribe of Joseph.
11. Manasseh, Son of Joseph's Egyptian Wife
11. Ephraim, Son of Joseph's Egyptian Wife
12. Benjamin, Son of Rachel
(How's your math concerning the Bible's Documented 12 tribes?)
 

Folk what does this post of yours have to do with this thread?
 
hii unasimlia toka quran brother maana naona wapotosha.
Hawa ni wale wa mihadhara, wanasimama na bible na kuanza kuitafsiri uwongo.

Sijui nani anawatumaga. Hawa watu huwa nawadharau sana coz unakuta nimeshamuelewa uwezo wake wa kujua na kuelewa jambo uko wapi
 
isaka hakuwa myahudi,
technically hata yakobo hakuwa myahudi,neno yahudi asili yake na juda,judea.
Yule mtoto wa yakobo kama sikosei.
Isaka na yakobo ni wairaq wa asyria
Itabidi ukasome tena biblia unajua Yakobo alipiwa jina la Israel ss unapozungumzia yahudi lazima utaje Israel
 
Tatizo la waislamu ni kuchaganya biblia na koran mf.wanaamini Musa au hata Yesu na wengine kama Daud na Suleiman na Harun kwamba ni manabii wa Mungu wakati huohuo wanasema mtu anaye shirikiana na Waisrael ni kafiri wanasahau kwamba hao manabii ni waisrael kitu ambacho biblia hakiamini kwamba kuna mtu anayeitwa Mohd ni mtume au nabii wa Mungu
 
Sasa mbona wengi hawahubiri haya uliyoandika. Maana wengi wanahubiri chuki na vitisho tu
 
Folk what does this post of yours have to do with this thread?
umesema levi si katika makabila 12 ya israel ndo nimekuwekea orodha hiyo.
Ephrahim alikuwa kanichanganya na jina levi,actually ephrahim hakuwa mtoto wa jacob,sijui hapa aliqualify vipi,
ephrahim ni mtoto wa joseph aliemzaa na mke wa kimisri,kwahiyo uzao wa ephraimu ni wamisri kwanini nae akawepo katika makabila 12 ya israel?.
Na kwa hakika ni makabila 13 kama ilivyo orodha hapo,huku kabila la joseph likiwa halipo na badala yake kuna kabila za watoto wake manase na ephrahim.
 
Genesis 34 Dinah, Jacob’s daughter, age 12, was raped by Shechem the Hivite. He fell in love and wanted to marry her. He, and his father, pleaded the matter of marrying her when Jacob’s sons became righteously indignant. They said that they would agree to the inter-marriage and forgive if all of Schechem’s men would get circumcised. They agreed and did get circumcised, and while they were in pain, Jacob’s sons and their men massacred Schechem, his father, every male and stole their wealth, flocks and made all their women and children captives
 
isaka hakuwa myahudi,
technically hata yakobo hakuwa myahudi,neno yahudi asili yake na juda,judea.
Yule mtoto wa yakobo kama sikosei.
Isaka na yakobo ni wairaq wa asyria


Yahud is a classical Arabic term which comes from a term used 11 times in the Quran to refer to descendants of Hud's community who had strayed into the worship 'Uzayr as the son of Allah. It is now ubiquitously nothing but the plural for Jew.

Uzayr
- most often identified with the Judeo-Christian Ezra (عزير, 'Uzair) - is a figure mentioned in the Qur'an, in the verse 9:30, which states that he was revered by the Jews as "the son of God". Jews do not agree with this statement. Historically, Muslim scholars have interpreted this verse as referring to a small group of Jews making such a reverence.
 
Itabidi ukasome tena biblia unajua Yakobo alipiwa jina la Israel ss unapozungumzia yahudi lazima utaje Israel
yeah,lakini wakati isaka yupo duniani neno yahudi halijakuwepo mkuu,neno hilo limeanza kuonekana kitabu cha wafalme.
Nishaeleza kuwa mwanzo wa neno yahudi ni yuda,mtoto wa jacobo,ni suala la kujiuliza tu ,kati ya isaka na yuda ,nani alikuwepo mwanzo,infact isaka wala huwezi kusema ni mwisrael,kwani waisrael ni wana wa jacobo
 
sawa ,lakini ujuwe neno jew limeanza kuonekana baadae sana katika kitabu kings,
bado nastick palepale kuwa isaka hakuwa myahudi wala mwisrael
 
Hao wanaojiita Waislam wenye uhusiano mzuri na Israel ni Makafir na ni laana tululay! Qur'an imesema kabisa usifanye urafiki na hao Makafiri. Sasa sijui ni njaa au fitna....daah! Kuona pepo ni kazi sana!
Wewe sijui ni muislam wa wapi, Mtume Muhamad mwenyewe hakuwa muislam mpaka pale alipoterenshiwa kitabu na Mwenyezi Mungu, na waarabu wengi walikuwa wanaabudu masanamu isipokuwa baadhi ya wayahudi na wakiristo, kama yeye hakuwa na urafiki nao watu wengi waliwezaje kuukubali uislamu? Halafu sisi waislamu hatujui maana ya neno Uislam? ni Kuamini uwepo wa Mungu, kumuabudu, kuamini kuwa kuna malaika na mitume na pia kufuata maamrisho yake. Sasa sisi tunajua kuwa waislam wote ni wanaomuamini Mtume Muhamad peke yake . Muslim au Submitter ni wale wanaomwabudu Mungu. Ndio maana hata waliokuwa kabla ya Mtume Muhamad walikuwa wanaittwa waislam sio kwamba sababu walikuwa wanamuabudu Mungu Mmoja na ndio ujumbe wa mitume wote. Ndio maana kuna wakristo ambao ni waislam na wayahudi vilele maana wanauabudu Mungu mmoja.
 
Bible Gateway passage: Genesis 1-1 - New International Version 38.

Kama aya inavyosema hapo juu,yuda baba wa wayahudi alitoka kutafuta mke wa kuoa,na kinyuma na maamrisho ya jehova,yudah alioa mwanamke wa caanan,ambae si mwisrael,
huyo mwanamke alimzalia yuda mtoto wa kwanza Er,na pia watoto onan na shelah.
Juda akamtafutia mwanawe mkubwa mke alieitwa tamar,
baada ya jehova kumuua Er,judah akamambia mwanawe anayefuatia alale na tamar yaani shemeji mtu,onan wakati wanafanya mapenzi na tamar,akachomoa na kumwaga nje,,jehova akachukia na kumuua hapohapo,
judah kamwambia tamar mkwe wake akae kwake mpaka shellah akue ili amuoe.
Baadae mke wa judah akafa.
Siku moja judah akaamua kwenda mjini kutafuta dadapoa,
haa..kumbe bila kujua akajikuta anafanya mapenzi na mkwe wake Tamar na akampa mimba.


Keyword hapa ni kuwa Juda baba wa wayahudi ana history ya kununua wanawake wanaouza sehemu za siri
 
mh,,kwahiyo umeponea chupuchupu mkuu?,hongera sana,
 

Be blessed Mkuu.
Umeelezea vizuri sana, watu wengi hukurupuka sana katika kuielewa Quran.
Na ndio maana mtu hawezi ku-qualify kutafsiri Quran mpaka.
-Afahamu sababu ya kushuka aya (Contextuality)
-Awe mahiri katika lugha ya kiarabu
-Awe na ufahamu juu ya hadithi za Mtume a.s ambazo kuna baadhi hutafsiri aya pia.
-N.k n.k
Tofauti na hivyo upotoshaji utakuwa mwingi mno.
 
Kwa iyo unataka kusema kwamba nchi ya Tanzania ni kikafiri, maana aiamini dini yoyote,
 
Aisee we jamaa ni mgumu kuelewa. Niliandika kuwa Levi hakupata urithi kama wenzake toka kwa Isreal. Na urithi hapa namaanisha kipande cha ardhi kama vile wale wengine 11 walivyopata. Labda nikupe sababu kwa faida yako. Ni kwamba Levi ni ukoo wa kikuhani yaani kabila lililowatoa Musa na Aaron kwa hiyo waliruhusiwa kuishi popote kati ya yale makabila 11 ili watoe huduma ya kiroho. Elungata huwa napenda kufundiswa ila naona wewe hujui vitu vingi vya Bible ndiyo maana nikakwambia usijaribu kunifundisha Bible. Bora unifundishe Koran ambayo nadhani utakuwa unaijua zaidi. Kasome tena post yangu nilivyojibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…