Luse msomba
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 228
- 159
Hawana uhakika na wakiaminicho believe me. Mfano ukiwabana kwamba ni wapinga kristo wanakwepa kwa kusema yesu wanamwamini kama Issa bin Mariam.. Then utashangaa ukihudhuria mhadhara jinsi wanavyo mkashifu. Wanakwambia Islamic is a religion of piece hebu linganisha na reality.Tatizo la waislamu ni kuchaganya biblia na koran mf.wanaamini Musa au hata Yesu na wengine kama Daud na Suleiman na Harun kwamba ni manabii wa Mungu wakati huohuo wanasema mtu anaye shirikiana na Waisrael ni kafiri wanasahau kwamba hao manabii ni waisrael kitu ambacho biblia hakiamini kwamba kuna mtu anayeitwa Mohd ni mtume au nabii wa Mungu
Pole sana kwa kuchanganywa na huyo Levi. Ukitaka kuijua Bible usisome ili uje ujibu maswali JF. Relaxy usome taratibu utaelewa mtiririko mzima wa kitabu hicho kitakatifu. Manase na Ephraim walipewa urithi kwa sababu walipata eneo ambalo lilikuwa ni apewe Joseph baba yao. Kwa hiyo ni sawa tu kwa wao kurithi sehemu ya baba yaoumesema levi si katika makabila 12 ya israel ndo nimekuwekea orodha hiyo.
Ephrahim alikuwa kanichanganya na jina levi,actually ephrahim hakuwa mtoto wa jacob,sijui hapa aliqualify vipi,
ephrahim ni mtoto wa joseph aliemzaa na mke wa kimisri,kwahiyo uzao wa ephraimu ni wamisri kwanini nae akawepo katika makabila 12 ya israel?.
Na kwa hakika ni makabila 13 kama ilivyo orodha hapo,huku kabila la joseph likiwa halipo na badala yake kuna kabila za watoto wake manase na ephrahim.
ndo maana tangu jana nasema una assume,sijawahi kusema najua quran tangu nijiunge hapa jf,wala sina kawaida ya kuquote quran,na kwa ufupi sijui,sasa nashangaa tangu jana unaniforce nikasome quran,Aisee we jamaa ni mgumu kuelewa. Niliandika kuwa Levi hakupata urithi kama wenzake toka kwa Isreal. Na urithi hapa namaanisha kipande cha ardhi kama vile wale wengine 11 walivyopata. Labda nikupe sababu kwa faida yako. Ni kwamba Levi ni ukoo wa kikuhani yaani kabila lililowatoa Musa na Aaron kwa hiyo waliruhusiwa kuishi popote kati ya yale makabila 11 ili watoe huduma ya kiroho. Elungata huwa napenda kufundiswa ila naona wewe hujui vitu vingi vya Bible ndiyo maana nikakwambia usijaribu kunifundisha Bible. Bora unifundishe Koran ambayo nadhani utakuwa unaijua zaidi. Kasome tena post yangu nilivyojibu.
ndo maana tangu jana nasema una assume,sijawahi kusema najua quran tangu nijiunge hapa jf,wala sina kawaida ya kuquote quran,na kwa ufupi sijui,sasa nashangaa tangu jana unaniforce nikasome quran,
mimi najua bible kwahiyo tubanane tu hapahapa kwenye bibilia,mi quran sijui kabisaaa
unajua mkuu katika hizi imani za dini,anachoamini mwenzako lazima kitakuwa kinyume na unachoamini wewe,kwahiyo automatically kinakuwa kashifa kwako,Hawana uhakika na wakiaminicho believe me. Mfano ukiwabana kwamba ni wapinga kristo wanakwepa kwa kusema yesu wanamwamini kama Issa bin Mariam.. Then utashangaa ukihudhuria mhadhara jinsi wanavyo mkashifu. Wanakwambia Islamic is a religion of piece hebu linganisha na reality.
Unamwita Mkristo kafir/adui,LA kushangaza unamchinja mwislamu ambaye ndiye unamuona kuwa ndiye ndugu na rafiki, huyo mungu siyo wa kweli kimbia unadanganyika, kubali uskubali Neno LA Mungu wa Kweli linasema atabarikiwa yule anayembariki Israel na atalaaniwa yule amlaanie Israel,chunguza uone jibu utalipata.
kwahiyo mkuu hawa waislamu wamekosa ubarikio kama waliobarikiwa hao waisrael,ndo maana wanachinjana?.Unamwita Mkristo kafir/adui,LA kushangaza unamchinja mwislamu ambaye ndiye unamuona kuwa ndiye ndugu na rafiki, huyo mungu siyo wa kweli kimbia unadanganyika, kubali uskubali Neno LA Mungu wa Kweli linasema atabarikiwa yule anayembariki Israel na atalaaniwa yule amlaanie Israel,chunguza uone jibu utalipata.
Kama ndivyo basi kwanini watu hulazimishwa ko vonvert to islam or die or pay tax kama yatokeayo Syria. Ndo maana nimesema uislam ni mfano mzuri wa kusema kingine na kutenda kingineunajua mkuu katika hizi imani za dini,anachoamini mwenzako lazima kitakuwa kinyume na unachoamini wewe,kwahiyo automatically kinakuwa kashifa kwako,
wenzetu wazungu wamemudu kuwa na uvumilivu wa kila mtu kuwa comfortable na kile anachoamini,ndo maana huko kuna site kama hii,,-
jesusneverexisted.com.
Na watu wataingia na kusoma atakaemini kilichomo sawa,asiyeamini sawa,
watu wako huru kutoa mawazo yao na mtu bado akawa comfortable,
sasa wewe kwani mtu akisema ,Yesu sio mungu,,kwanini upanick wakati imani yake inasema yesu sio mungu?
Utamlazimisha labda aseme yesu ni mungu?
Ndo maana nasema lazima mtu uwe comfortable na kile unachokiamini,kama uko sawa hata mtu aseme vipi bado utabaki na kile unachokiamini,wala haihitaji kukimbilia kwa modereter eti asaidie kumziba mtu mdomo asitoe maoni yake
Kama hawajachakachua kitu lazima iseme mkuu maana mstari huo upo katika taurati ambayo wanaitambua.Hiyo quran haisemi amlaaniye Israel alaaniye na yeye?
uko sawa tu,lakini ushawahi kusoma ama kusikia kuhusu zama za giza?Kama ndivyo basi kwanini watu hulazimishwa ko vonvert to islam or die or pay tax kama yatokeayo Syria. Ndo maana nimesema uislam ni mfano mzuri wa kusema kingine na kutenda kingine
Reuben soma (mwanzo 49:4)basi baada ya yakobo kuwa ametoroka na wake zake na mali ya mjomba wake,Laban aliwafuatilia kwa siku nne hadi akawapata,wakasuluhishana ila kwa masharti.
Yakobo aliapizwa kwa jina la mungu wa isaka kwamba atawatunza mabinti wa mzee Labani na hatathubutu kuoa wanawake wengine kamwe.
Jacobo akakubali na wakaweka agano na mzee Labani,
mzee wa watu baada ya kuridhika akajirudia zake kwake mikono mitupu.
Jacobo akavunja agano na kuwaoa mahausegal wake na akazaa nao.
Yakobo alikuwa na mtoto wa kiume mkubwa sikumbuki ni yuda ama Reuben,akaona huu sasa ujinga,,akatembea na mke wa babake,,yaani mmoja wa wale mahausegal.
Jacobo kuja kugundua,lilikuwa zari la kutosha,kijana akafukuzwa kwao
wakati akirudi toka kwa labani na watu wake yakobo akasikia Esau yuko njiani kukutana nae,basi yakobo akaogopa akidhani Esau anamsubiri kumuua,akawatanguliza wale mahousegal na watoto wao ili kama esau ataanza kushambulia basi wawe wa mwanzo kufa kabla hawajafikiwa wao na wale wake zake wapendwa rachel na leah.Hivi Yakobo na Esau uhasama wao ulifanikiwa kuisha?
Mkuu wewe ndo usome vizuri, jina uyahudi lilianzia walipoanza kuishi Yuda. Isaka na yakobo waweza kuwaita waebraniaSoma vizuri historia ya makabila ya israeli. Usipotoshe brother
Hii ni biblia mkuu soma mwanzo 49:4hii unasimlia toka quran brother maana naona wapotosha.
unasema...?isaka hakuwa myahudi,
technically hata yakobo hakuwa myahudi,neno yahudi asili yake na juda,judea.
Yule mtoto wa yakobo kama sikosei.
Isaka na yakobo ni wairaq wa asyria
Ni kweli lawi hakuwa na urithi yaani maeneo ya kuishi kwani hawa ni wahudumu katika hekaluok,nishaiona ephrahimu alikuwa israel kingdom,kabila la tatu nalolisema ni kabila la Levi,
hawa ni kama hawamo katika hesabu kwani ndo walikuwa kama wanahudumu katika mahali pa kuabudia,najaribu kuitafuta hiyo infor nikiipata ntaiweka
Kimsingi Yakobo hakuamua mwenyewe kuzaa na masuria bali wake zake Raheli na Leah ndio walimkabidhi sababu walikuwa na mashindano ya kuzaa watoto, ujue hao watoto wa masuria walitambulikana kuwa ni wa Lea na Raheli.ok,nishaiona ephrahimu alikuwa israel kingdom,kabila la tatu nalolisema ni kabila la Levi,
hawa ni kama hawamo katika hesabu kwani ndo walikuwa kama wanahudumu katika mahali pa kuabudia,najaribu kuitafuta hiyo infor nikiipata ntaiweka
ha ha ha,usipanick bana,sasa kwani jacob hakuwazalisha hao housegali?.
Walikuwa kama wake zake,au tuseme nyumba ndogo,ndo maana mtoto wake alipolala na mmoja mzee jacob alipanick na kuacha kulala na huyo housegali tena
sure mkuu,maana mimi naenda bila reference labda akienda kusoma ataamini kuwa nasema kilichoandikwa wala sijitungii mwenyeweHii ni biblia mkuu soma mwanzo 49:4
Wakristo wenzangu naomba tuwe wasomaji wazuri na makini wa Biblia pamoja na vitabu vya historia, katika maeneo mengi tunachangia kwa jazba na mazoea, naomba tuwe wavumilivu na makini katika kujibu hoja, huyu elungata anajibu kwa msaada wa ku google, yapo mengine yuko sahihi na mengine anapotosha kutegemea na chanzo chake cha habari.Itabidi ukasome tena biblia unajua Yakobo alipiwa jina la Israel ss unapozungumzia yahudi lazima utaje Israel