SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Huyu mtu ni chizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh😲🤣🤣Biolojia ya wapi hii....
Hata biology ya form two haisemi hivi, KAZI YA CHANJO NI KUPUNGUZA KWENDA KWENYE ATHARI MBAYA UKIWA UMEPATA MAAMBUKIZI,..........
usipotoshe walio soma Historia, hakuna kitu kama hichi duniani.
Azim Dewji: Tunasema kwamba, kazi kubwa ya mkuu wa Dini ni kuongoza waumini wake sio kuwapotosha, unazungumza maneno ya kuwapotosha waumini na kuleta taharuki kwenye Jamii, hiyo haifai kabisa na isiendelee kufanyika hivyo, sisi hatutakubali.
Kwa njia moja au nyingine unawatukana waliobobea kwenye fani hiyo kwamba kamati iliundwa, waliofanya utafiti wewe unawaona hawana akili. Saa nyingine naweza kusema labda wewe ndio huna akili ya sayansi, wewe labda una akili ya kuhubiri peke yake kwa hiyo usijaribu kuwatukana wenzako.
Mwisho Azim amemwambia mchungaji Gwajima amuheshimu Rais na kiongozi wa chama ambacho kimemlea na kumpatia ubunge kwani bila chama cha CCM asingepata ubunge na wengine kama yeye hajampigia kura Gwajima bali alipigia chama.
PIA, Soma> Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama
RipNasimama na gwajima...sichajwi Mimi...ushenzi mtupu
hahahaha Nchi imekuwa na miruzi miiingi sana siku hizi toka amekufa yule jamaa yetu mwamba, siku hizi kila mtu kambale mamba...
Gwajima is a pig.
Ila anaweza sema alikua anaongea kama mbunge na sio mchungaji.